Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 761
- 6,985
Wewe ni taahira kwelikweli! Sorry!Cdm waoga sana wa sanduku la kura, mnataka ushindi wa mezani kwenye uraisi?! Waambieni mabeberu wenu chuma bado kipo sana
Mkuu umeelewa swali lakini? Nasema tena, kuwa mataga siyo justification ya kuwa mjingaCdm waoga sana wa sanduku la kura, mnataka ushindi wa mezani kwenye uraisi?! Waambieni mabeberu wenu chuma bado kipo sana
Devota Minja amefikia wapi na rufaaDevotha Minja
Mkuu nadhani issue si kuteuliwa,issue ni our level of professionalism huku shithole countriesNEC ni Mali ya ccm, boss mkuu anayemteua ndiyo rais
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Uwingi wa wagombea na ukubwa wa form siyo kigezo cha kupindisha sheria. Hii inaonyesha jinsi tume isivyo huru ku handle mambo.Ufinyu wa maono na utambuzi wa mazingira halisia.
Kwanza idadi ya wagombea ni kubwa.
Pili Idadi ya form ni kubwa.
Tatu muda wa kuzipitia kwa usahihi ni mdogo.
Option ya tume iko sahihi.
Uwingi wa wagombea na ukubwa wa form siyo kigezo cha kupindisha sheria. Hii inaonyesha jinsi tume isivyo huru ku handle mambo.
H ha ha ha haaaa! Asante kwa kuniongezea siku...H ah ha aaaaa! I like this.Wangemkata Lissu nlikuwa nimeshajiandaa kuandamana. Ningeanzia kule juu kabisa kwenye jukwaa la siasa mpaka nipite Chit Chat, nipite MMU, mpaka chini kabisa kule kwenye complaints appreciation and advice
Hata katika kula mayai unaweza ukapitiwa ukala bovu likakuumiza tumbo tek that...NEC ni Mali ya ccm, boss mkuu anayemteua ndiyo rais
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Lisu kaachwa afanye kila vurugu ilimradi isiwe ya kutia hasara au mauwaji, hata kivunja sheria naaachwa tu ili aoate muda wa kujitangaza kisha aadhibiwe kwenye sanduku.Kamugisha, haya mapungufu aliyoyaona Lisu angalikuwa ameyafanya yey, basi wangelimuengua! They mislead the contestants na kwa vile hawawezi kumkata Magu, wamefunika kombe mwanaharamu apite!
Chuga gani kinashiriki kuuza nyumba za umma kwa hawana zake? BEBERU ni naniCdm waoga sana wa sanduku la kura, mnataka ushindi wa mezani kwenye uraisi?! Waambieni mabeberu wenu chuma bado kipo sana
Una elimu gani?Lisu kaachwa afanye kila vurugu ilimradi isiwe ya kutia hasara au mauwaji, hata kivunja sheria naaachwa tu ili aoate muda wa kujitangaza kisha aadhibiwe kwenye sanduku.
Sasa kuachwa kwake kisiwe kisingizi cha kujua sheria,