Hakuna option inayopingana na sheria halafu ikawa sawa! Unatetea upumbavu kwa sababu ya ufinyu wa fikra. Unasemaje wingi wa wagombea huku hakuna limitation ya idadi ya vyama vya siasa. Tume inapaswa kutambua kuwa idadi ya vyama ndio kiongozi wa idadi juu ya wagombea wanaotarajiwa. Anything less make the who thing easier!!!
Hata muda unaoutaja, ulipaswa kuzingatia idadi hiyo. Lakini, kama daftari za wapiga kura ni electronic, inachukua muda gani kuthibitisha watu elfu mbili???? Je ni lazima zoezi la kurudisha fomu liwe la siku moja?? Lissu katoka saa 1 usiku, wapinzani wake wanapata wapi muda wa kumuwemea pingamizi?? Kwanini haraka iwe ni kikwazo kwaki??
Huna point mkuu, una uwezo mdogo wa kupembua mambo.