Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 15,989
- 22,078
Umemuona aliyejibu pingamizi hataki hata maswali watu wajiridhishe. Kama angeulizwa na kujibu kama ulivyosema. Si watu wangeridhika ? Lakini kirahisi tu. "Hakuna maswali"Mkuu , delegation of powers inakubalika kwenye mazingira kama haya.
Buku 7Cdm waoga sana wa sanduku la kura, mnataka ushindi wa mezani kwenye uraisi?! Waambieni mabeberu wenu chuma bado kipo sana
Mwanaharamu atapita lakini kwa bahati akijukilichofanyika, watu wote watajua kombe lililofunikwa limejaa yaliyomo yanayofichwa maana hakuna siri ya watu wawili. Katika jitihada za kumwengua Mh. Lissu , Tume ilitumia njia mkato kulinda mamlaka ya teuzi yapindishe Sheria za Uchaguzi ili wahusika wapite bila pingamizi. Hii inathibitisha kuwa Tume siyo Huru bali iatekeleza majukumu yake kufuata maagizo toja juu. Tutasikia tafsiri nyingi zisizo sahihi za Sheria na Kanuni za Uchaguzi katika jitihada za kuhalalisha uvunjivu wa Sheria kulipa fadhila.Kamugisha, haya mapungufu aliyoyaona Lisu angalikuwa ameyafanya yey, basi wangelimuengua! They mislead the contestants na kwa vile hawawezi kumkata Magu, wamefunika kombe mwanaharamu apite!
Mkuu uamuzi wa Tume kwenye hili la Uraisi ni wa mwisho na hauwezi kupelekwa mahakamani. Hii ndio imewapa tume kiburi cha kuficha ukweli kuwa maelekezo yao ni batili na fomu/mchakato wa magu na prof. ni za kutupa huko.Kupinga matokeo ya urais mahakamani hiyo haipo kisheria... Lakini kwa Hili la kufuta mapingamizi mahakama ya Katiba inahusika....
Ufinyu wa maono na utambuzi wa mazingira halisia.
Kwanza idadi ya wagombea ni kubwa.
Pili Idadi ya form ni kubwa.
Tatu muda wa kuzipitia kwa usahihi ni mdogo.
Option ya tume iko sahihi.
Wakati wanaweka hizo kanuni hawakuyaona yote hayo....!!?Ufinyu wa maono na utambuzi wa mazingira halisia.
Kwanza idadi ya wagombea ni kubwa.
Pili Idadi ya form ni kubwa.
Tatu muda wa kuzipitia kwa usahihi ni mdogo.
Option ya tume iko sahihi.
Aitoe wapi hofu.Mfalme kaingizwa chaka , kaingia fomu yake haifai lakini sizizofaa ni za kina Devotha Minja tu. Rais aliejenga mabarabara na kununua mandenge na kupiga kampeni mfululizo maika matano akisaidiwa na Polisi, Wanahabari ana hofu ya uchaguzi?.
Roho inauma au Moyo unauma.Hakuna option inayopingana na sheria halafu ikawa sawa! Unatetea upumbavu kwa sababu ya ufinyu wa fikra. Unasemaje wingi wa wagombea huku hakuna limitation ya idadi ya vyama vya siasa. Tume inapaswa kutambua kuwa idadi ya vyama ndio kiongozi wa idadi juu ya wagombea wanaotarajiwa. Anything less make the who thing easier!!!
Hata muda unaoutaja, ulipaswa kuzingatia idadi hiyo. Lakini, kama daftari za wapiga kura ni electronic, inachukua muda gani kuthibitisha watu elfu mbili???? Je ni lazima zoezi la kurudisha fomu liwe la siku moja?? Lissu katoka saa 1 usiku, wapinzani wake wanapata wapi muda wa kumuwemea pingamizi?? Kwanini haraka iwe ni kikwazo kwaki??
Huna point mkuu, una uwezo mdogo wa kupembua mambo.