RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
https://www.facebook.com/Tume ya kwanza haikutosha kumfunga paka kengele!
Hii ya pili naona Ina kibwagizo "tujue nani alietoa fedha za kusababisha vurugu za uchaguzi"
Kwa kauli hii nadhani Kuna MTU anatafutwa abebeshwe zigo zito la kifedha na wenzake ili aonekane na eye alishiriki kuhujumu uchaguzi na damu za wapiga kura!!
Makam wa rais wa nchi za maziwa makuu kuhusishwa na kutoa fedha kwa waasi ili ku destabilize utawala wa awamu Fulani wa nchi nyingine haijaanza leo,zipo nadharia na speculations kibao za makam wa rais wa nchi Fulani alipaswa kushungulikiwa ipasavyo baada ya uchunguzi kuonyesha alishiriki kutoa mchango wa kifedha kwa vikundi vya uasi katika nchi fulani na wakubwa wakachukizwa na kitendo kile matokeo yake ni makam yule alipotea ghafula bin vuu na kuteuliwa mwingine!!
Je? Tume mpya inaenda kumfichua yuda alietoa msaada wa kifedha kwa vikundi vya fujo vya October 29!!?
Nasubiria kuona hii sarakasi mpya!!
Kazi na utu,tunasonga mbele!!
Nawaza na kuwazua!!
Na yule Rachel dangwa na yeye alisikika akimtetea yuda au!!?
Ni baada ya vikundi kuhatarisha usalama wa nchi au!!?Hakukuwa na vikundi.
Walitoa amri ya shoot to kill wao.
Ndiyo maana wao wenye walikiri kwamba "Nguvu iliyotumika ilikuwa inaendana na wingi wa waandamanaji".
Huyo unayemsema hata kama aliwezesha maandamano siyo kosa, kosa ni yule aliyetoa amri ya kumiminia hao waandamaji risasi.
nonsense 🐒Tume ya kwanza haikutosha kumfunga paka kengele!
Hii ya pili naona Ina kibwagizo "tujue nani alietoa fedha za kusababisha vurugu za uchaguzi"
Kwa kauli hii nadhani Kuna MTU anatafutwa abebeshwe zigo zito la kifedha na wenzake ili aonekane na eye alishiriki kuhujumu uchaguzi na damu za wapiga kura!!
Makam wa rais wa nchi za maziwa makuu kuhusishwa na kutoa fedha kwa waasi ili ku destabilize utawala wa awamu Fulani wa nchi nyingine haijaanza leo,zipo nadharia na speculations kibao za makam wa rais wa nchi Fulani alipaswa kushungulikiwa ipasavyo baada ya uchunguzi kuonyesha alishiriki kutoa mchango wa kifedha kwa vikundi vya uasi katika nchi fulani na wakubwa wakachukizwa na kitendo kile matokeo yake ni makam yule alipotea ghafula bin vuu na kuteuliwa mwingine!!
Je? Tume mpya inaenda kumfichua yuda alietoa msaada wa kifedha kwa vikundi vya fujo vya October 29!!?
Nasubiria kuona hii sarakasi mpya!!
Kazi na utu,tunasonga mbele!!
Nawaza na kuwazua!!
Hii ni huru inashirikisha majaji wa nje zaidi kuliko hawa wa ndani,ili tupate majibu murua yasiyo na shaka Wala kuonea upande!!Hivi hii tume mpya ina tofauti gani ba ile ya Jaji Chande? Anayejua anijuze please
Sisi observer ndio tunaielewa hii game,wewe endelea kula viyoyozi comrade!!nonsense 🐒
Nabii tito naye kaibuka😂Na yule Rachel dangwa na yeye alisikika akimtetea yuda au!!?
Nadhani "operation Yuda" Ina outshine kabisa "operation PJLK ya desert mission"
sisi tupo upande wa Mungu alieweka wote waliohai "wenye madaraka na wasio na madaraka wote ni WA Mungu"
Sisi tunasonga mbele
Oyaaa, Aliyeua ,aliyetoa Amri ya Kuua ,aliyeficha MIILI ya Watanzania , anayeteka na kuua watu ni nani??.Tume ya kwanza haikutosha kumfunga paka kengele!
Hii ya pili naona Ina kibwagizo "tujue nani alietoa fedha za kusababisha vurugu za uchaguzi"
Kwa kauli hii nadhani Kuna MTU anatafutwa abebeshwe zigo zito la kifedha na wenzake ili aonekane na eye alishiriki kuhujumu uchaguzi na damu za wapiga kura!!
Makam wa rais wa nchi za maziwa makuu kuhusishwa na kutoa fedha kwa waasi ili ku destabilize utawala wa awamu Fulani wa nchi nyingine haijaanza leo,zipo nadharia na speculations kibao za makam wa rais wa nchi Fulani alipaswa kushungulikiwa ipasavyo baada ya uchunguzi kuonyesha alishiriki kutoa mchango wa kifedha kwa vikundi vya uasi katika nchi fulani na wakubwa wakachukizwa na kitendo kile matokeo yake ni makam yule alipotea ghafula bin vuu na kuteuliwa mwingine!!
Je? Tume mpya inaenda kumfichua yuda alietoa msaada wa kifedha kwa vikundi vya fujo vya October 29!!?
Nasubiria kuona hii sarakasi mpya!!
Kazi na utu,tunasonga mbele!!
Nawaza na kuwazua!!
Wewe una uhakika Gani kama hayo yote yalifanyika!!?au ni propaganda za mitandao!!?Oyaaa, Aliyeua ,aliyetoa Amri ya Kuua ,aliyeficha MIILI ya Watanzania , anayeteka na kuua watu ni nani??.
kigezo kipi kinafanya iwe huru?Hii ni huru inashirikisha majaji wa nje zaidi kuliko hawa wa ndani,ili tupate majibu murua yasiyo na shaka Wala kuonea upande!!
Nadhani comrade Samiah kacheza kama pele!
2030Tutafika hoi!Damu mbichi iliyomwagika inalitesa taifa Hadi Leo kuisafisha,tunaendelea kitumia fedha nyingi za walipa Kodi kusafisha damu hii badala ya kujikita kwenye miradi ya maendeleo pekee,sasa ni tume ya pili inaenda kutulamba mapesa!!
Kazi na utu,na huu ndio utu wenyewe!!?
Wewe ni muuaji na unatetea muuaji mwenzio anayejisafisha damu isiyoisha.Ni baada ya vikundi kuhatarisha usalama wa nchi au!!?
Order ya shoot to kill isingetekelezwa kama kusingekua na viashiria vya vurugu!!?
We waonaje!!?
Polisi hawawezi ku shoot kama mtu yupo bize kwake anakaanga chapati!!
Hizo tume tofauti yake ni maelekezo tuu waliyopewa.Hivi hii tume mpya ina tofauti gani ba ile ya Jaji Chande? Anayejua anijuze please