Tume Mpya ya uchunguzi wa mauaji ya Oct 29 na kizungumkuti cha kumtosa Yuda baharini!

Ni baada ya vikundi kuhatarisha usalama wa nchi au!!?

Order ya shoot to kill isingetekelezwa kama kusingekua na viashiria vya vurugu!!?

We waonaje!!?

Polisi hawawezi ku shoot kama mtu yupo bize kwake anakaanga chapati!!
Polisi hawawezi ku shoot kama mtu yupo bize kwake anakaanga chapati!!..

Sasa Kuna watu walikuwa grocery Magomeni...wanashusha vinywaji
Walikula risasi... Upande wa pili Kuna nyumba ya kawaida nje Kuna camera...

Walikula watu jioni wakaitoa camera na mfumo wote... Na yule bwana ni mfanyabiashara ...Ustaadhi flani sijui aliambiwa Nini na wale Jamaa waliovamia kwake wakiwa na AK 47...na sio SMG
Yule Ustaadhi mpaka Leo hataki kununua camera nyingine... Na akisikia neno October 29...anaogopa na huondoka eneo la tukio haraka..
 
Ni baada ya vikundi kuhatarisha usalama wa nchi au!!?

Order ya shoot to kill isingetekelezwa kama kusingekua na viashiria vya vurugu!!?

We waonaje!!?

Polisi hawawezi ku shoot kama mtu yupo bize kwake anakaanga chapati!!
Wale waliouliwa majumbani mwao nao wakapigwa risasi walikuwa na viashiria gani?

Yule mtoto wa mwaka mmoja naye alianzisha vurugu gani?

Mnapenda kutetea ujinga na mauaji. Au sababu wewe ni mnufaika?

Hao polisi kwahiyo wakipewa amri ya kushoot wanashoot tu ni sawa? Mbona hawakuua watoto wao? Acheni ujinga wale ni watu sio wanyama..!! Ebooh
 
Huyo kujiongelesha km hayawani..!!

Watu walifatwa majumbani na kumiminiwa risasi halafu yeye anatetea upuuzi wake hapa..!!
 
SINA HAJA YA KUANDIKA SABABU ZA MAANDAMANO.
ILA.

1. Hakuna mtu yoyote aliyewezesha yale maandamano ile ni Raptcher.

2. Hakuna mtu yoyote aliyelipwa fedha kwaajili ya watu waandamane.

3. Hakuna mtu yoyote aliyepokea Fedha kutoka ndani ama nnje ya nchi kwaajili ya kuandamana.

4. ORDDER ilikuwa Shut to kill.
Aliyezima mtandao, Aliyetangaza hali ya hatari hawa ndio mashahidi.
Na sisi tulioliona Jeshi la Polisi likiwa na Siraha nzito za kivita.

GT ACHENI UPUMBAVU.
 
Pamoja na kwamba kuna watu hawana akili we umetia fora, kwamba akili yako imedumaa hivyo? Wakati zile ghasia zinatokea Nchimbi alikuwa makamu wa Rais tayari? Alikuwa ndiyo mgombeza mwenza, angewezaje kuhujumu uchaguzi ambao yeye ni mgombea? Jamani kweli watanzania wengi wana udumavu wa akili km mleta uzi, subiri watakuja mazuzu wenzio watachangia wakiwa hawaelewi wanachangia nini.
 
Kuna waliostahili kuwa "shot and killed"! Hawa waliochoma vituo vya mafuta, Ofisi za Serikali na kuvamia na kuiba biashara za watu, waliostahili kuwa "shot and killed"!
 
Kuna waliostahili kuwa "shot and killed"! Hawa waliochoma vituo vya mafuta, Ofisi za Serikali na kuvamia na kuiba biashara za watu, waliostahili kuwa "shot and killed"!
MZEE UNA ROHO NGUMU SANA HONGERA SANA.
AUAYE KWA UPANGA ATAUWAWA KWA UPANGA.

1. Unafananisha thamani ya Uhai wa binadamu na Mali magali na petrol stations?

2. Kama hujui ama makusudi zile Petrol station na mwendokasi zilichomwa na UVCCM ili wapate kisingizio cha KUUA waandamanaji.

3. MAANDAMANO NI HAKI YA KIKATIBA, NA HUWA YANALINDWA SIO KUUA.

KAMA POLEPOLE ALOYEKUWA ZAIDI YAKO NA UKOO WAKO WOTE ALITEKWA NA KUUWAWA UTAKUWA NG'OMBE WEWE!!!!!!!.
 
Hayo ya UVCCM kufanya hivyo, nadhani uliyasema kwenye Time Ya Jaji Chande. Ila kwa waliochoma, hata kama Kuna waliobaki hai basi wanatakiwa kutafutwa na kushughulikiwa ipasavyo!
 
Hadidu rejea tayari zimeisha mjua muovu, ni tayari ina Majibu, ya wakosaji, sasa wanataka kuwa pata Kwa ushahidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…