PostGE2025 Tume ya Jaji Chande kujikita katika madhara tu na siyo Makosa, walioikataa waliona mbali sana

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
9,205
Reaction score
22,219
Guys guys

Kweli waliosema hii tume ni sawa na mwanaume ajichunguze mwenyewe kama ana mchepuko imedhihirika wazi wazi kabisa.

Hii tume inatarajia kutuletea madhara tu wala si kusema nani aliokosea ah aha haha ha 😆 😄 😅 .

Sasa kama haitaiona Makosa si yatajirudia tena? Yaanai KUTEKA. KUUA na KUONEWA watu ndo yalikuwa makosa makubwa kablsa kabla ya uchaguzi.

Jaji chande kashatupanga mapema kabisa kwa hiyo hamna jipya tuiweke nchi mikononi mwa Mwenyezi mungu CCM ni wehu.

IMG-20260422-WA0003.jpg
 
Kimsingi toka awali ilikuwa ni time ya kuzuga kuliko kuwa tume. Mkosaji mkuu ni Samia, kisha yeye yeye kajiundia tume ya kujichunguza. Ndio maana unaona wanalazimisha maridhiano zaidi kuliko uwajibikaji.
 
View attachment 3577286
Another wave of liberation struggle
 
Kiustaarabu tusubiri iwasilishe repoti ndipo tunaweza kutathmini kazi yao
 
Poleni mlioamini hiyo ni ripoti wakati ni kipeperushi cha udaku kilichotengenezwa na makada na wastaafu wa CCM.
 
Dharau kubwa tulishaoneshwa IGP kuwa ofisini mpaka muda huu. Kimsingi yaliyotokea akiwa ofisini alitakiwa awajibike hata kama hajahusika maana alishindwa kuzuia
 
lini wadanganyika wamekuwa na tabia ya kuwajibika

jamaa anajiona shujaa kwa kumlinda mama, wala haoni kama anawajibu wa kuchukua tena yawezekana alipongezwa nyuma ya pazia kwa kupewa dongo nono
 
Kimsingi toka awali ilikuwa ni time ya kuzuga kuliko kuwa tume. Mkosaji mkuu ni Samia, kisha yeye yeye kajiundia tume ya kujichunguza. Ndio maana unaona wanalazimisha maridhiano zaidi kuliko uwajibikaji.

Naona matokeo ya hii tume yanaweza kutuvuruga kabisa kama wataleta mambo ambayo wanainchi hawajawategemea,
 
Mwanamke jikoni,kitandani mauno.Kwa Samia watanganyika tumepata hasara ya miaka 9 na nusu.
 
Naona matokeo ya hii tume yanaweza kutuvuruga kabisa kama wataleta mambo ambayo wanainchi hawajawategemea,
Sioni kama kuna mtaka mabadiliko anategemea lolote tofauti na anachotaka Samia na genge lake. Yaani machafuko ni lazima yarudie, lakini kuingia kwenye mkenge wa maridhiano ni kujimaliza.
 
Back
Top Bottom