Lazima afikiwe ili waathirika na wahanga wa MO29 2025 wapate haki bila sarakasi zozote za Tume ya Jaji Chande kumnasua mhalifu
Kabla ya hapo mlikuwa mnatuita keyboard warriors. Kisha mkasema hakuna wa kutoa pua October 29. Sasa nikuambie kuwa safari hii mtajua hamjui. Tutaona waliopata akili kati ya sisi na nyie kina nani. Ng'ombe wewe!Makosa hayawezi kujirudia maana Watanzania wanapata akili sasa ya kutofuata mkumbo. Wewe mtu yuko California na Nairobi anakuhamasisha ukaandamane, na wewe unakubali.
Wamejifunza the hard way, hawatarudia. Na kumbukeni CCP Moshi au JWTZ Monduli hawafundishwi kunengua kama chuo cha Utamaduni Bagamoyo. Kazi yao ni kutumia bunduki.
Waliokuwa wanasema kuwa eti Polisi wangetumia mabomu ya machozi au maji ya washawasha, hawakuuona mtiti.
Ulitaka Polisi wafanye nini dhidi ya yale magenge ya waharibifu na waporaji? Ubaya wa Samia uko wapi? Mbona ndiye aliwarudisha kutoka Belgium/ Canada akina Tundu na Lema waliokuwa wamekimbia kuuliwa na Magufuli? Samia ndiye aliyerudisha mikutano ya vyama na ruzuku mkapewa.Kipindi cha nyuma ilikuwa si mshabiki na mara nyingi ulikuwa unaongeza facts tangu aingie Mama Samia umekuwa kama chawa huoni hata ubaya wake hata mmoja
Kiongozi wenu yuko Istanbul ana fanya surgery ya matitiKabla ya hapo mlikuwa mnatuita keyboard warriors. Kisha mkasema hakuna wa kutoa pua October 29. Sasa nikuambie kuwa safari hii mtajua hamjui. Tutaona waliopata akili kati ya sisi na nyie kina nani. Ng'ombe wewe!
Mimi sio mshabiki wa hivyo vyama vyenu vya siasa kwani mwamba ukiwa mkweli bila kuwa mshabiki wa Chama chochote unapungukiwa Nini?Ulitaka Polisi wafanye nini dhidi ya yale magenge ya waharibifu na waporaji? Ubaya wa Samia uko wapi? Mbona ndiye aliwarudisha kutoka Belgium/ Canada akina Tundu na Lema waliokuwa wamekimbia kuuliwa na Magufuli? Samia ndiye aliyerudisha mikutano ya vyama na ruzuku mkapewa.
On the contrary mkamdharau maana wanufaika wakubwa wa 4R hasa Tundu akaanza kuropoka na kutukana. Naye Samia ni binadamu, hata kama ni mpole lakini mamlaka yake siyo mapole. Huwezi kubeza dola kizembe ukaachiwa hivi hivi
Kwa hiyo mlitaka zile vurugu ziendelee tu?Ila watu huwa mna expectations za ajabu hivi waliohusika na mauaji ya October 29 wanahitaji tume ili kuwajua na mlitegemea kitu gani tofout na hicho
Vurugu gani? mnatumia risasi kwa watu wenye mabango na mawe, wapuuzi sana nyie, kama mnashindwa kuwadhibiti watu wasio na silaha mnaweza nini bogus nyieKwa hiyo mlitaka zile vurugu ziendelee tu?
Leta picha moja yenye bango kama ushahidi!!Vurugu gani? mnatumia risasi kwa watu wenye mabango na mawe, wapuuzi sana nyie, kama mnashindwa kuwadhibiti watu wasio na silaha mnaweza nini bogus nyie