The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Another wave of liberation struggleGuys guys
Kweli waliosema hii tume ni sawa na mwanaume ajichunguze mwenyewe kama ana mchepuko imedhihirika wazi wazi kabisa.
Hii tume inatarajia kutuletea madhara tu wala si kusema nani aliokosea ah aha haha ha π π π .
Sasa kama haitaiona Makosa si yatajirudia tena? Yaanai KUTEKA. KUUA na KUONEWA watu ndo yalikuwa makosa makubwa kablsa kabla ya uchaguzi.
Jaji chande kashatupanga mapema kabisa kwa hiyo hamna jipya tuiweke nchi mikononi mwa Mwenyezi mungu CCM ni wehu.
View attachment 3577286
Kiustaarabu tusubiri iwasilishe repoti ndipo tunaweza kutathmini kazi yaoGuys guys
Kweli waliosema hii tume ni sawa na mwanaume ajichunguze mwenyewe kama ana mchepuko imedhihirika wazi wazi kabisa.
Hii tume inatarajia kutuletea madhara tu wala si kusema nani aliokosea ah aha haha ha π π π .
Sasa kama haitaiona Makosa si yatajirudia tena? Yaanai KUTEKA. KUUA na KUONEWA watu ndo yalikuwa makosa makubwa kablsa kabla ya uchaguzi.
Jaji chande kashatupanga mapema kabisa kwa hiyo hamna jipya tuiweke nchi mikononi mwa Mwenyezi mungu CCM ni wehu.
View attachment 3577286
SureAnother wave of liberation struggle
Habari ndo hiyo hakuna la maana hapo usanii mtupuKwa hiyo hawatawashutumu wahusika wa mauaji? Sasa walichunguza nini Kama hakutakua na uwajibikaji?
Walidhani ama wamechukulia huu ni ushirikinaHuwezi kutoa ushauri wa maana kama utazungumzia sana matokeo kuliko chanzo. Ushauri mzuri ni unaogusa chanzo
lini wadanganyika wamekuwa na tabia ya kuwajibikaDharau kubwa tulishaoneshwa IGP kuwa ofisini mpaka muda huu. Kimsingi yaliyotokea akiwa ofisini alitakiwa awajibike hata kama hajahusika maana alishindwa kuzuia
Kimsingi toka awali ilikuwa ni time ya kuzuga kuliko kuwa tume. Mkosaji mkuu ni Samia, kisha yeye yeye kajiundia tume ya kujichunguza. Ndio maana unaona wanalazimisha maridhiano zaidi kuliko uwajibikaji.
Sioni kama kuna mtaka mabadiliko anategemea lolote tofauti na anachotaka Samia na genge lake. Yaani machafuko ni lazima yarudie, lakini kuingia kwenye mkenge wa maridhiano ni kujimaliza.Naona matokeo ya hii tume yanaweza kutuvuruga kabisa kama wataleta mambo ambayo wanainchi hawajawategemea,