Tume ya Jaji Lila yaanza, kusaka waliopanga kufadhili Ghasia za Oktoba 29

carbohydates

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
260
Reaction score
607
Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.

Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.

Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
 
Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, ba
Chanzo : Mwananchi official
Kitendo tu cha kuyaita ghasia badala ya maandamano ni ushahidi tosha hii tume ni ya muuaji na imeundwa na muuaji ili kumsafisha
 
Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.

Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.

Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
well done Jaji Lila na tume yako huru kwa ujumla 🔥
 
Kama kweli hii ni tume huru na ya haki Wasimwache Samia Suluhu maana kabla hata ya uchaguzi aliliambia jeshi likae tayari. Sasa jeshi likae tayari kwa ajili ya nini kwenye uchaguzi wa kidemokrasia?

Ndio pale tukaona jeahi likiingia mitaani kupiga raia marisasi
 
Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.

Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.

Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
TUme hiyo isihangaike ngoja tuisaidie
1.waliopanga: CCM
2.waliofadhili: Chivayo na Mseven
3. Waliotekeleza: polisi
 
ni ngumu sana kubadilisha rangi inayoonekana nyekundu ukasema ni blue wakati na kushupaza shingo. Kuna mwananchi yoyoye hajui kilichotokea? Au ndo inaandaliwa filamu? Vp waliuoa wananchi? Mbona uchunguzi ni km wa upande mmoja?
 
Tume huru ambayo tayari ina majibu mfukoni. Umeshaita ghasia sasa hapo kipi cha maana inachofanya. Tume inaundwa na mtuhumiwa namba moja
kwani nani asie jua baadhi ya vyama vya siasa na AZAKI ndio waliohusika kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi, ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025?

Tume inajiridhisha tu kwa mujibu wa sheria na kupendekeza hatua muafaka za kisheria za kuchukua dhidi ya wahusika hao wa AZAKI na vyama vya siasa ambao wengi jamii inawafahamu hadi majina na wanapoishi.

Iko hivyo gentleman 🐒
 
Haya mambo ndo yanafanya watu wazarau viongozi wa muhula huu.
Kama watu walishajulikana toka tume ya mwanzo mpaka leo huwajakamatwa?
Sasa watu wakiwadharau mtalalamika?
Mbona Magufuli aliwezaje kuwa mkali aisee?

Mtu kasababisha vurugu unamuacha anadunda tu ni ili aendelee kuleta vurugu ama?
 
Back
Top Bottom