Tume ya Jaji Lila yaanza, kusaka waliopanga kufadhili Ghasia za Oktoba 29

Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.

Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.

Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
Wakikosekana TEC haiwi kweli
 
..kuna genge linateka, kutesa, na kuuwa Watanzania, tangu mwaka 2016 kipindi cha Magufuli, na hakuna hatua zozote zimechukuliwa hadi leo hii 2026.

..Kabla ya watawala kutulalamikia kuhusu vurugu na mali kuchomwa moto watueleze kuhusu watekaji, na wauwaji, ambao wamedumu kwa miaka 10 sasa.

..Na serikali watueleze OCT 29 nani aliuwa watu 518+ ikiwemo WATOTO.
Ndo maana nikasema kama wahusika wamejulikana halafu huwakamati means hao wahusika pengine wanatokana na wao si ndo maana hawawatii sheriani..
 
Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.

Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.

Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official

Mwambieni kuwa wahusika wa ghasia waliuawa na Jaji Mwenzake tena Mkuu kuliko yeye amependekeza walipwe fidia.

Pia tunataka kujua alieamulisha wauwawe .....!!
 
Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.

Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.

Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.

“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.

Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
Lini itaanza kusaka wauaji?
 
Wewe ukiwemo.
 
Haya mambo ndo yanafanya watu wazarau viongozi wa muhula huu.
Kama watu walishajulikana toka tume ya mwanzo mpaka leo huwajakamatwa?
Sasa watu wakiwadharau mtalalamika?
Mbona Magufuli aliwezaje kuwa mkali aisee?

Mtu kasababisha vurugu unamuacha anadunda tu ni ili aendelee kuleta vurugu ama?
Mtuhumiwa wa kwanza awe Samiah .
 
Wajinga nyie. Mkiulizwa hao watu mia Tano walikuwa na nani mnakimbia.
 
Jambo lililo wazi ni kuwa walioua ni polisi, jee aliyetoa amri ya shoot to kill ni nani? Hili nalo ni gumu?
 
Hongera kwa tume, wachochezi na magaidi wafikishwe kwene vyombo vya dola
 
Back
Top Bottom