Tume ya Jaji Lila yaanza, kusaka waliopanga kufadhili Ghasia za Oktoba 29

kwani nani asie jua baadhi ya vyama vya siasa na AZAKI ndio waliohusika kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi, ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025?

Tume inajiridhisha tu kwa mujibu wa sheria na kupendekeza hatua muafaka za kisheria za kuchukua dhidi ya wahusika hao wa AZAKI na vyama vya siasa ambao wengi jamii inawafahamu hadi majina na wanapoishi.

Iko hivyo gentleman šŸ’
Hakuna mtu timamu anayejua hayo ukitoa machawa kama wewe. Mwananchi wa kawaida kabisa anajua shida ni smia. Hizo propaganda zenu hata fesibuku huwalishi
 
Kama walijuwa tume za kazi gani si wakamatwe?

We mwenyewe hauna kitu unajuwa utadhani loose wa danguro. Mbona hukujuwa chochote kuhusu Nchimbi na wewe ni kiherehere.

Umeshindwa kusimama msimamo wako maana una njaa kali na siasa unafanya kutuliza tumbo lako na njaa kali.

Huna maana wewe. Post zako za kipumbavu sana
 
Nchi yetu ni ya kidemokrasia na inafuata misingi ya utawala wa sheria, na kwahivyo mambo yote ya taifa letu yanafanyika kwa kuzingatia utaratibu huo wa kikatiba.

Na yote hayo yanafanyika bila kujali mihemko, makasiriko, porojo au uzushi wa wasusia uchaguzi au wafuata mkumbo kama wewe.

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra wakati tume huru ya kijinai ikiendelea kuchapa kazi zake kwa utulivu na uhuru šŸ’
 
Hakuna mtu timamu anayejua hayo ukitoa machawa kama wewe. Mwananchi wa kawaida kabisa anajua shida ni smia. Hizo propaganda zenu hata fesibuku huwalishi
Bas tuliza mihemko,
kua mstahilivu na mwenye subra wakati tume huru ya jaji Lila ikiendelea kuchapa kazi na kutimiza majukumu yake kwa uhuru na kwa niaba ya waTanzania wote šŸ’
 
Nchi yetu ni ya kidemokrasia na inafuata misingi ya utawala wa sheria, na kwahivyo mambo yote ya taifa letu yanafanyika kwa kuzingatia utaratibu huo wa kikatiba.

Na yote hayo yanafanyika bila kujali mihemko, makasiriko, porojo au uzushi wa wasusia uchaguzi au wafuata mkumbo kama wewe.

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra wakati tume huru ya kijinai ikiendelea kuchapa kazi zake kwa utulivu na uhuru šŸ’
Peleka upumbavu wako huko.
 
kwa mujibu wako umesema tume huru? umepimaje uhuru wa tume hizi?. je tume hizi ni halali pia kisheria na kikatiba?
imeundwa kwa mijibu wa katiba na mtu mwenye mamlaka ya kufanya hivyo kwa mujibu wa katiba hiyo ya Tanzania.
kwahiyo ni tume huru ya kuaminika iliyosheheni wajumbe weledi wa kitaifa na kimataifa :NoGodNo:
 
Haya mambo ndo yanafanya watu wazarau viongozi wa muhula huu.
Kama watu walishajulikana toka tume ya mwanzo mpaka leo huwajakamatwa?
Sasa watu wakiwadharau mtalalamika?
Mbona Magufuli aliwezaje kuwa mkali aisee?

Mtu kasababisha vurugu unamuacha anadunda tu ni ili aendelee kuleta vurugu ama?

..kuna genge linateka, kutesa, na kuuwa Watanzania, tangu mwaka 2016 kipindi cha Magufuli, na hakuna hatua zozote zimechukuliwa hadi leo hii 2026.

..Kabla ya watawala kutulalamikia kuhusu vurugu na mali kuchomwa moto watueleze kuhusu watekaji, na wauwaji, ambao wamedumu kwa miaka 10 sasa.

..Na serikali watueleze OCT 29 nani aliuwa watu 518+ ikiwemo WATOTO.
 
Back
Top Bottom