carbohydates
JF-Expert Member
- Oct 13, 2026
- 260
- 607
Kitendo tu cha kuyaita ghasia badala ya maandamano ni ushahidi tosha hii tume ni ya muuaji na imeundwa na muuaji ili kumsafishaTume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, ba
Chanzo : Mwananchi official
well done Jaji Lila na tume yako huru kwa ujumla 🔥Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.
Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.
Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.
Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
😀😀😀.tume huruwell done Jaji Lila na tume yako huru kwa ujumla 🔥
Yes,😀😀😀.tume huru
Kama kweli hii ni tume huru na ya haki Wasimwache Samia Suluhu maana kabla hata ya uchaguzi aliliambia jeshi likae tayari. Sasa jeshi likae tayari kwa ajili ya nini kwenye uchaguzi wa kidemokrasia?Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.
Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.
Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.
Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
TUme hiyo isihangaike ngoja tuisaidieTume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.
Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.
Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.
Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
😂😂😂😂 eti tume huruwell done Jaji Lila na tume yako huru kwa ujumla 🔥
Yes,😂😂😂😂 eti tume huru
Tume huru ambayo tayari ina majibu mfukoni. Umeshaita ghasia sasa hapo kipi cha maana inachofanya. Tume inaundwa na mtuhumiwa namba mojaYes,
ni tume huru ya uchunguzi gentleman 🐒
ni ngumu sana kubadilisha rangi inayoonekana nyekundu ukasema ni blue wakati na kushupaza shingo. Kuna mwananchi yoyoye hajui kilichotokea? Au ndo inaandaliwa filamu? Vp waliuoa wananchi? Mbona uchunguzi ni km wa upande mmoja?Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, imeanza kuchunguza watu waliopanga, kufadhili, kuratibu na kushiriki katika ghasia zilizotokea kipindi hicho, baada ya kukamilisha uchunguzi wa awali kuhusu matumizi ya nguvu katika kudhibiti vurugu hizo.
Hatua hiyo inaashiria kuanza kwa uchunguzi unaolenga kubaini wahusika na nafasi ya kila mmoja katika matukio hayo, huku tume ikiwataka wananchi na taasisi zenye taarifa au vielelezo vinavyoweza kusaidia uchunguzi kuviwasilisha.
Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Shaban Lila akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne, Oktoba 27, 2026 jijini Dar es Salaam, amesema tume imekamilisha ukusanyaji wa ushahidi katika wilaya zote za Mkoa wa Dar es Salaam na sasa imeanza kutekeleza hadidu ya rejea inayohusu kuwabaini waliohusika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025.
“Kwa upande wa Dar es Salaam, tume sasa imeanza kukusanya taarifa ambazo zitaiwezesha kutekeleza hadidu ya rejea namba moja, inayohusu kuwabaini wahusika katika kupanga, kufadhili, kuratibu na kufanya ghasia wakati ule wa uchaguzi mkuu wa mwezi Oktoba mwaka 2025,” amesema Jaji Lila.
Jaji Lila amesema kazi ya tume inaongozwa na hadidu za rejea zinazobainisha maeneo yanayopaswa kuchunguzwa, ikiwemo kubaini wahusika wa ghasia na kuchunguza malalamiko kuhusu namna vurugu zilivyodhibitiwa.
Chanzo : Mwananchi official
Ngoja wakuzingireTUme hiyo isihangaike ngoja tuisaidie
1.waliopanga: CCM
2.waliofadhili: Chivayo na Mseven
3. Waliotekeleza: polisi
kwani nani asie jua baadhi ya vyama vya siasa na AZAKI ndio waliohusika kupanga, kuratibu, kufadhili na kutekeleza matukio ya kigaidi, ghasia, uharibifu na maafa ya October 2025?Tume huru ambayo tayari ina majibu mfukoni. Umeshaita ghasia sasa hapo kipi cha maana inachofanya. Tume inaundwa na mtuhumiwa namba moja
The fuc.k outta here. Dumb ***.well done Jaji Lila na tume yako huru kwa ujumla 🔥