Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!


- Sawa sawa mkuu ila sijaona Sheria yako inaposema Tume itawaamulia wananchi wakubali kwa nguvu Serikali tatu, na sijaona inaposema tume itakuwa kwenye media kulumbana na walioichagua, sijaona hayo naomba nonyeshe mkuu wangu!!

- Angalau wewe umejitahidi kujadili kwa hoja ingawa ni nje ya mstari anyways, lakini angalau!!

Le Mutuz
 
Siwezi kuacha watu kama wewe walete upotoshaji kisa nionekane mweupe! Nitapambana na wewe kila utakapo jaribu kupotosha wengine. Wewe ni nani ututolee amri kuwa tume iondoke kwa kuwa inakula kodi zetu. Wewe unalipa kodi?

- Pambana na mimi kwa hoja kuliko matusi ambayo unaishia kuwatukana Viongozi wako mwenyewe wa Chadema badala ya mimi MR. BAD NEWS, hoja huna hujawahi kuwa nayo zaidi tu ya maneno ya mtaani I like it kwa sababu huwa unanipa nafasi nzuri ya kuwatwanga below the belt, nasema hivi hii tume haina jipya na ni useless kwa sababu inafanya mengi ambayo haikutumwa na wala hayapo kwenye Sheria nini maoni yako on that? ha! ha! ha!

- Mwendo wangu ni ule ule nitaendelea kuwapa bad news hapa kila wakati mteme au mmeze I dont care! ha1 ha!

Le Mutuz
 

Sijui unaongelea dunia ipi....tume duniani kote haziundwi ili kukidhi matakwa ya wanaoziunda au serikali bali matakwa ya umma....na ni lazima ziende kwenye media ili umma ujue kinachoendelea.....wewe umezoea mambo yenu ya under the camera...its a different world now!
 

- Tume zinaenda kwenye media baada ya kukabidhi ripoti sio kabla, labda nitajie tume moja iliyowahi kulumbana na walioichagua kabla ya kukabidhi ripoti yake iliyotumwa, pole sana vipi umechoka kuandika matusi yako ya kitoto? ha! ha! ha!

Le Mutuz
 
We kijana naona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sasa, hesabu zako unafikiri wabunge wenu ni misukule ya kutumwa kufanya kila mnachokipenda wewe na Nape. Kwanza nataka nikujulishe kwamba, Katiba ni ya wananchi si ya Chama cha siasa, kama ingekuwa ni wingi wa wabunge ndo utungaji wa katiba basi Gadaffi asingeng'olewa madarakani, kama chama cha siasa ndo chenye katiba ya nchi basi CCM inekuwa na wanachama milioni 2o kwa kuwa ingekuwa ni kutangaza asubuhi moja tu kwamba sisi tuliowengi tumesema kila Mtanzania mwenye uwezo na sifa za kupiga kura ni mwanachama wa CCM, kama kweli kwa uelewa uliouonesha ingekuwa sahihi hata tume isingeundwa kwa sababu kwanza katiba mpya haikuwa agenda ya CCM lakini kwa utashi wa kiongozi mmoja tu aliyeona mbali na mwenye mapenzi mema na nchi hii nazungumzia Jakaya M. Kikwete akatamka wote mkafyata mikia mithili ya mbwa koko, mkaanza kupigishana kelele kwenye mabaraza ya Katiba wakati haikuwa agenda yenu, huoni kama kusema idadi ya wabunge ndiyo determinant unataka kuuaminisha umma wa Tanzania kwamba wabunge wenu ni mbumbumbu wakati kwa imani yangu kuna watu ambao wanajua kuna mambo yamekwama na wangependa yakwamuliwe bila kuwa nje ya CCM? kwa idadi ya wnanchama na idadi ya madiwani basi Myinka asingekuwa mbunge wa ubungo!!! kama kweli unaweza kupiga mahesabu vizuri Msigwa asingekuwa mbunge wa Iringa mjini. Kama tatizo lako ni bangi za kuvutia baharini nashauri uende ukatibiwe.
 
- Tume zinaenda kwenye media baada ya kukabidhi ripoti sio kabla, labda nitajie tume moja iliyowahi kulumbana na walioichagua kabla ya kukabidhi ripoti yake iliyotumwa, pole sana vipi umechoka kuandika matusi yako ya kitoto? ha! ha! ha!

Le Mutuz

Kila tume ina hadidu rejea zake, labda tuanzie hapo, na sijui kama unajua Tume hii hadidu rejea zake ni zipi pasi kuizuia kwenda kwenye media. Kukuchambua nafsi yako sio utoto bali kuwaelimisha wasiokujua waelewe wewe ni mtu wa ain gani.....still a hopeless person to me!.....ila una mguu bomba sana!

 
Hivi we kibonge huwa zinakutosha au umezidiwa na mwili?
Mbona unamzalilisha mzee wako kutwa kushinda kwenye mtandao huna kazi?
 
kama mlianzisha mchakato wa katiba just kuwafurahisha watanzania baada ya matokeo mabaya ya CCM 2010 sasa hapa ndipo mmebugi - na mmebugi zaidi kumchagua jaji warioba kuwa mwenyekiti wa tume hiyo.
 
We kijana naona uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sasa, hesabu zako unafikiri wabunge wenu ni misukule ya kutumwa kufanya kila mnachokipenda wewe na Nape.

Mkuu angalia vizuri kauli zako, kwa mujibu wa kamusi ya Kiswahili sanifu hakuna kijana mwenye umri wa miaka 55 popote duniani
 

1. Hapo kwenye picha nilikuwa nimealikwa kwenye mashindano ya Miss Ukonga hapo ni Kiota Jungle, so si unajua mgeni wa heshima lazima kutoa speech, it was great event super sana I mean!

2. Hadidu rejea za tume zinairuhusu kuwakaripia wananchi na kuwaaamulia Serikali tatu kwa nguvu? Hadidu rejea zako zinawaruhusu kukimbilia media kila siku kulumbana na walioichagua? Hebu ziweke hapa hizo hadidu zako rejea kwanza ndio tutakuwa na mjadala supa sana.

3. Mimi hata siku moja siwezi kupoteza muda wangu na any person ambaye nime-conclude ni useless maana wenye akili wataniona na mimi ni useless, so kama sikosei wewe ni uselesss ndio maana una muda sana hata wa kuchunguza maisha ya a uselesss like me, ha1 ha! ha! ha!

- Next time fungua thread ya useless like me, ila hapa ni tume ya katiba kwanza ilivyo waste of our taxpayers money!!

Le Mutuz
 
Mkuu angalia vizuri kauli zako, kwa mujibu wa kamusi ya Kiswahili sanifu hakuna kijana mwenye umri wa miaka 55 popote duniani

- Nitakapofikisha miaka 55 nitakwambia maana hata MWenyekiti wako wa Chadema ambaye ni mkubwa kwa umri kuliko mimi hajafikia miaka 55, so relax bro halafu usiniambie kwamba Slaa mwenye miaka 75 hafai kabisa maana kwa hii hoja yako ina maana mwenye miaka 75 anatakiwa kufa kabisa au? ha1 ha!

Le Mutuz
 

- Nonsense! wewe una uwezo mkubwa wa kufikiri halafu unakuja kujadili na mwenye uwezo mdogo? ha! ha1 ha!

Le Mutuz
 

Yaani wewe jamaa ni mweupe na sina uhakika kama una uelewa wa kutosha kuhusu mada zako mwenyewe unazozianzisha,Ulianza kwa kumpinga Warioba kuhusu maombi yake kuongezewa muda na aliyemteuwa wewe ukaona kama anataka kujiongezea muda zaidi wa kula,Jamaa hapo juu akakujibu akikupa quotations za vifungu vya kisheria vinavyompa nafasi Warioba kuomba kuongezewa muda,Ukapigwa bao hapo na kukosa cha kujibu sasa unakimbilia kwenye mambo ya Muundo wa Serikali ya Muungano.Huna hoja kabisa unabwabwaja tu kama mlevi.
 

- Nimetoa sababu za kunifanya niseme kwamba tume haina mshiko ni bora ikafutiliwa mbali now, hizo quations zako sijaona Tume inaporuhusiwa kulazimisha wananchi kuwa na Serikali tatu, pole sana una mapovu mengi lakini huna hoja masikini wa mungu!!

Le Mutuz
 

Hadidu rejea hizi hapa.......again una mguu mzuri sana !

 
- Tume zinaenda kwenye media baada ya kukabidhi ripoti sio kabla, labda nitajie tume moja iliyowahi kulumbana na walioichagua kabla ya kukabidhi ripoti yake iliyotumwa, pole sana vipi umechoka kuandika matusi yako ya kitoto? ha! ha! ha!

Le Mutuz
Imelumbana na Kikwete? nani aliyekwambia Tume ile imeundwa na CCM?
 
Kumbe sometimes akili huwa zinakurudi, Tanzania Kwanza ndio habari ya mjini

Ifike wakati tuchore mstari kati ya wafia nchi na wafia chama kama hili dude, Obeja getegete ngosha.
 
Yaani huu Uzi kabla sijafungua"moyoni"nilisema mmh atakua Wiliam ndo ameandika,nafungua nimekuta kweli,hivi Lemutuz anauwezo gani kupingana Warioba!nilichogundua kutoka kwa Lemutuz ni kwamba anatafuta Hoja isiowekana kupinga,alafu anapinga hili akikaa na wasiojielewa ajisifu Uzi wake umechangiwa na watu wengi,kuanzia sasa nitapita kwa kasi tu katika Uzi wa Le mutuz
#Ex Tanzania Simper aliquid novi#
 
Hadidu rejea hizi hapa.......again una mguu mzuri sana !

- Sijaona hadidu zako zinaposema tume inatakiwa kutengeneza maoni ya wananchi au? Kuhusu mimi nipo supa sana ndio maaana mabebs wanajigonga gonga sana u know that, so worry not na me I am fine sana!! ha1 ha!

Le Mutuz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…