Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!

- HAtimaye umeongea hoja nzito, sawa sawa mkuu wangu kwa hili naweza kukubali.

Le Mutuz
Mkuu ndiyo maana nikasema anayetakiwa kupigwa risasi za kisiasa ni Mwenyekiti wako Taifa kupitia Wizara ya Katiba na Sheria. Tanzania tuna matatizo sana na tena makubwa kwenye hii wizara na pia hata kwenye ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali. Hata kitengo cha uchunguzi wa makosa ya jinai nchini nacho ni inept and corrupt.

Kuirushia risasi za kisiasa Tume ya Jaji Warioba ni kuionea kwa sababu sheria zinazoisimamia hazina mipaka kuhusiana na mchakato huu.

Nilishangaa sana niliposoma kuwa Tume itafanya lolote inalodhani litafaa katika majukumu yake. Huku ni kupewa nguvu ambazo hazina mipaka kisheria bali zina mipaka kiutashi. Very strange.

Waache wazee wetu waendelee kucheza na unlimited power kisheria!.
 
Kwani zile ziara zako za kipuuzi unazofanya na Bulembo unajua ni nani anazilipia ? Mbona hakuna aliyeandamana kuzipinga japo hazina tija !
 
Wewe jamaa ni mweupe sana, kazi yako ni majungu matupu, yaani nyie watu wa ccm mnafikiri katiba ni sawa na katiba ya ccm, tume ya warioba mwaka huu imewashika pabaya. Mzee warioba amelitendea mema taifa lake! Mtasema sana hii tume itaendelea na kazi yake bila shida!
 
Kumbe sometimes akili huwa zinakurudi, Tanzania Kwanza ndio habari ya mjini

Ifike wakati tuchore mstari kati ya wafia nchi na wafia chama kama hili dude, Obeja getegete ngosha.
Bhebhe ngosha. Akili kunirudi ni subjective.

Kwa mawazo na fikra zako unafikiria kile unachokikubali ndiyo ukweli na wale wasiokubalina na mawazo yako akili zao zimewatoka.

Jaribu kujitathimini kwanza kabla ya kupaint wanaJf kwa brush ya aina moja kwa vile wako kinyume na mtazamo wako. Hata shilingi ina pande mbili so as mitazamo na fikra.
 

u are rigth mkuu....
 

Attachments

  • 1231696_155662197967898_147786647_n.jpg
    6.5 KB · Views: 133
nitashangaa sana kuona ya kwamba Chadema wanamteuwa Dr Slaa kugombea, ni sawa na kumteuwa Sugu kugombea urais Tz. Dr kachoka, Uwezo wa kufikili uliishakwisha.
 
huyu kijana ni balaa tupu, inaonekana kwa totoz anatisha!! Huyu kwa maadili haya hafai hata kuwa mbunge, kama akifanikiwa kuupata ubunge, yaani warembo kwenye jimbo hilo watamtambua...

Mkuu kimtazamo upo sahii kabisa, ila ndani ya chama chake mbona ata akiutaka uenyekiti wanampa, ataakitaka kugombea uraisi ccm wanamsimamisha.
Huu ukoo wa panya tz utatumaliza
 

Kamtafutie kibajaji kwani uelewa unao jinsi vibajaji vilivyo na uwezo wa kuangusha matingatinga
 
Kumbe John Chigimwesi, amekuwa ustaadh siku hizi?! Hizo naona ni Breaking news!
 
Ni bora familia yako ikakufanya msukule ,,ili wapate pesa yakufanya siasa,,maana hauna faida katika jamii,,,,miaka 55 bado unajiona kijana,,kata rufaa basi urudi uwe kijana,,,,

mzee warioba ni baba yako ,,,,lakini unaleta siasa kwa mzee mwenye hekima kama huyu ,,mzee wetu mzee warioba,,,,au hiyo nafasi ulitaka apewe nani katika familia yako?
 
Le Mutuz, una shida sana, bahati mbaya hujui unasumbuliwa na ugonjwa gani. Hakika kicheko chako cha hahahahaha kinanisikitisha tena kwenye mambo ya msingi na ya maana. Kule kwetu wangkuambia wewe ni mwanamke. Au unacheka kcheka kama mwanamke
 
Inawezekana huu ni wivu na chuki tu zinazokusumbua, hivi ulitaka mwenyekiti wa tume awe baba yako? Mtasema sana tume iko ngangari, warioba endelea kupiga kazi!
 



kweli eti mshua wako alibadili dini ili waarabu wampe pesa ya kampeni?nyerere ndie alisema.jibu haraka
 
Wapinzani ombeni kuahirishwa kwa hili zoezi la katiba mpya maana time is not on your side now hata ianguke mvua ya mawe ni CCM yenye Wabunge wengi bungeni ndio itakayokuwa na haki kisheria kuamua katiba iwe vipi

Le Mutuz
Katiba inatengenezwa na wananchi wote na sio BUNGE;mentality kuwa katiba itatengenezwa na Bunge iachwe haraka!

USA kwa mfano wakati wanatengeneza katoba yao wanasiasa walikuwa % 8 ya wajumbe wote !

Bunge litatumika kuipitisha tu katiba sio kuitengeneza!
 
Sikujua kama jamaa huyu amejaa pumba kiasi hiki! hivi wengine mnasomaga vyuo gani jamani mbona hata haviwiani na elimu inayodaiwa kuwa unayo? NINGEKUWA MIMI NINGEKAA KIMYA maana thread hiyo imekudhalilisha kabisa pole!
 
- At least huwezi walinganisha na yule kibabu anayegombea mke wa mtu mahakamani na huku kinataka urais, ha! ha! ha!

Le Mutuz

tatzo lako liko apa, unataka watu wazima tuone ulicholeta alaf unaingiza utoto kama unacheza na watoto wenzio...kwa taarfia yako rudisha kadi, piga binuka...tunawaongezea muda wakamilishe kazi yao ....sisi wananchi hatujaituma tume aidha kukataa serikali3 , 4 au mbili,,,ayo ni mawazo yako...note my words,tunawaongezea muda, vimba pasuka,ni juu yako....
 

Le Big Shoow - The King Of All Bongo Network Social Media@ Blogu ya Wananchi.

Kwanza nianze na haka ka-signature kako. Sijui wewe ni king kwenye eneo gani. Maana mimi sijawai hata kutembelea hizo blogu zako. Poor signature!!

Pili, sijui unawasema wananchi gani. Mimi nadhani usema Tume ya Mzee Jaji Warioba inawachanganya CCM na Vibaraka wake. Na sijui ulitaka Tume ikae kimya wakati kuna vijiwanasiasa vinatoa maneno ya uchochezi kwenye mikutano ya siasa kama yule Bulembo sijui.
 
Sikujua kama jamaa huyu amejaa pumba kiasi hiki! hivi wengine mnasomaga vyuo gani jamani mbona hata haviwiani na elimu inayodaiwa kuwa unayo? NINGEKUWA MIMI NINGEKAA KIMYA maana thread hiyo imekudhalilisha kabisa pole!

Mkuu huyu jamaa ana laana ya kutelekeza familia ikiwa na watoto wanne kule USA. Kaja hapa anashinda na vimalaya vya Bongo movie tu, baba zima linakimbizana na akina Lulu. Huyu Lulu kwake ni mjukuu. Maana lina miaka 55+.
 
malecela angekuwa mwenyekiti wa tume angelilia atolewe kama hivi.babake mwenyewe alioa kipindi cha kuwania uraisi baada ya kuitwa mhuni.kaacha kuchukua bakuli akakaa mnazi mmoja kudumisha kipaji cha kabila anataka uraisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…