nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
mkuu, kinachomsumbua huyu jamaa ni wivu na chuki kwa warioba na si kingine.malecela angekuwa mwenyekiti wa tume angelilia atolewe kama hivi.babake mwenyewe alioa kipindi cha kuwania uraisi baada ya kuitwa mhuni.kaacha kuchukua bakuli akakaa mnazi mmoja kudumisha kipaji cha kabila anataka uraisi.
Mkuu huyu jamaa ana laana ya kutelekeza familia ikiwa na watoto wanne kule USA. Kaja hapa anashinda na vimalaya vya Bongo movie tu, baba zima linakimbizana na akina Lulu. Huyu Lulu kwake ni mjukuu. Maana lina miaka 55+.
Watanzania walishaona katiba nzuri ya kulinda maslai ya watanzani miaka 50 ijayo haiwezi kutokana na wingi wa wabunge wa maccm.- Nah! sina sababu ya kumshoot down aliyeunda tume kwa sababu ametumia katiba, na so far hajakosea ninataka katiba mpya lakini inayofuata Sheria ya kuibadilisha ambayo ipo wazi sana ndio ninasema Wapinzani ombeni kuahirishwa kwa hili zoezi la katiba mpya maana time is not on your side now hata ianguke mvua ya mawe ni CCM yenye Wabunge wengi bungeni ndio itakayokuwa na haki kisheria kuamua katiba iwe vipi,
- NI USHAURI WA BURE TU SUBIRINI MPAKA MUWE NA WABUNGE WENGI BUNGENI SASA HAMNA NAMBA ZA KUTOSHA KUBADILISKA KATIBA AS U WANT!!
LE Mutuz
Kwanza nianze na haka ka-signature kako. Sijui wewe ni king kwenye eneo gani. Maana mimi sijawai hata kutembelea hizo blogu zako. Poor signature!!
Pili, sijui unawasema wananchi gani. Mimi nadhani usema Tume ya Mzee Jaji Warioba inawachanganya CCM na Vibaraka wake. Na sijui ulitaka Tume ikae kimya wakati kuna vijiwanasiasa vinatoa maneno ya uchochezi kwenye mikutano ya siasa kama yule Bulembo sijui.
Watanzania walishaona katiba nzuri ya kulinda maslai ya watanzani miaka 50 ijayo haiwezi kutokana na wingi wa wabunge wa maccm.
Kwa bahati mbaya hawasimamii na hawana mpango wa kusimamia maslai ya watanzania hao. Chamsingi ni kusikiliza watanzania wengi wanasemaje na si wabunge wengi wanasema nini. Kinyume na hapo mnawasha moto mtakao shindwa kuhuzima. hii Tanzania ni yetu sote.
- hamna bifu hapa baby hapa ni itikadi tu, and I love wananchi wote mburulazzzz against Le Big Show bring it on! ha1 ha! wananchi wengi uwezo wa kufikiri njiwa tuliza boli wewe! ha! ha1 ha!
Le Mutuz
Le Mutuz
Katiba inatengenezwa na wananchi wote na sio BUNGE;mentality kuwa katiba itatengenezwa na Bunge iachwe haraka!
USA kwa mfano wakati wanatengeneza katoba yao wanasiasa walikuwa % 8 ya wajumbe wote !
Bunge litatumika kuipitisha tu katiba sio kuitengeneza!
Malezi ya mm wa kambo tabu kweli!
mkuu, kinachomsumbua huyu jamaa ni wivu na chuki kwa warioba na si kingine.
Ukweli ni kwamba wewe na wenzako ndani ya ccm kuikubali ama kutoikubali Tume ya Katiba hakumsaidii mtu yeyote anayeujua ukweli wa dhiki, shida na kero zinazotokana na mapungufu yaliyomo kwenye katiba tuliyo nayo sasa. Wananchi wamechoka kuona wanaendelea kuishi maisha yaliyojaa ufukara na yasiyo na mwelelekeo wala dira wakati watu wachache wanafaidika. Kero za wananchi sasa hivi ni kama jua la asubuhi, kila kukicha linachomoza. Kuanzia Lindi na Mtwara, kwenda Kigoma, Arusha na Manyara, Zanzibar ndiyo basi tena, juzi juzi tumesikia mpaka Dodoma wananchi wameandamana dhidi ya fisadi CDA. Kila wanapopita viongozi wa nchi (watawala) wanakutana na mabango na hata wananchi wakizuiwa kuonyesha mabango basi wanakutana na wananchi wanaowaeleza kuhusu shida zao! Kuanzia migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji, wananchi kunyang'anywa ardhi na wawekezaji, kukosa huduma muhimu kama afya, elimu, barabara, maji, umeme n.k. Suala la haki za binadamu zinavunjwa mchana kweupe na wanaozivunja wanalindwa mfano mzuri ni kauli ya Waziri Mkuu kusema 'wapigwe'. Suala la Muungano ambalo limeanza kuzungumziwa miaka mingi sana na walio madarakani wakajifanya wametia pamba masikioni hawasikii la mtu. Haya yote ni mapungufu yaliyomo kwenye katiba hii ya sasa!
Tufanyeje? Lazima tupate katiba mpya ambayo itakuwa dira ya kutuonyesha njia ya kutufikisha huko tuendako. Tuache kuongozana kama vipofu bali tunahitaji msaidizi angalau atakayekuwa macho yetu kwenye safari hii. Ndipo Tume hii iliposimamia. Kwa kuwa sasa inaonekana dhahiri ya kuwa zile kero za wananchi, hata kama si zote, zimeanza kumulikwa, na ukweli wa namna ya kuziondoa unaelekea kutafutwa, lazima kuna watu kama wewe na wenzako ndani ya chama na serikali ambao mnapata kizunguzungu na hofu kuu. Kwamba sasa ile 'mirija' aliyoikata Mwalimu ambayo mliweza kuiunga upya sasa inaelekea kuwa na uwezekano wa kukatwa upya. Huenda sasa katiba mpya ikipatikana basi si 'mirija' tu itakayokatwa, bali hata mizizi yote ya unyonyaji itang'olewa, ili matunda ya Tanzania huru yaweze kufaidiwa na kila mtanzania, na si yule tu ambaye ana baba, mjomba, shemeji, mume ama mke aliye kwenye sehemu yenye nafasi ya kuwanyonya wananchi.
Ukweli unawauma na unawatisha. Siku zenu zinahesabika. Waeleze wenzako ya kwamba tunakuja, na tunaitaka nchi yetu!!!
Duuh wewe jamaa kweli nimeamini hauko sawa hata kidogo.. Serious unachokizungumza hapa ni kile ambacho kimepata baraka za Mwenyekiti wako.. Hujui unapoishambulia Tume na Mwenyekiti wako nae hakwepi shutuma..? Hivi unajaribu ku-achieve nini hapa..?
- Kwenye kuungana na chama mlichokiita cha mashoga mli-achieve nini mkuu au ni itikadi tu! ha! ha!
Le Mutuz
- So na wewe una bifu na mimi kwa sababu gani? ha! ha! ha! ungemalizia kwanza! ha! ha!
Le Mutuz
- ha! ha! ha! ha! hapana huwa siogopi ishu always ishu yoyote nakupa msimamo wangu kama huupendi too bad lakini umeusoma live na rangi zake!! ha! ha! ha!
Le Mutuz