Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

IMG_20220326_180650_455.jpg

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
 
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita kadhaa, kwa ng'ombe kwa siku kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao rasmi.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

View attachment 2165218

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Vipi aliyeunda na kupokea taarifa anasemaje!? Aje hadharani atoe neno!!
 
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita kadhaa, kwa ng'ombe kwa siku kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao rasmi.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

View attachment 2165218

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Hivi Huyu jamaa na misuti yake haoni aibu? Hivi anadhani dunia ya Sasa Ni ile ya dhama zile, Nampa pole Sana.
 
Hapa ndipo umuhimu wa kuwa na taasisi imara za kudumu unapokuja. Huwezi kuongoza nchi kwa tume kila mara ikaendelea. Hili ni jambo lilipaswa kushughulikiwa na taasisi mojwapo ambayo ingepaswa kupewa jukumu la kusimamia usalama wa vyanzo vya maji, iwe NEMC au chombo kingine chochote.
 
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

View attachment 2165218

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
Huyu Prof. Bora afiche uso wake, ameabisha chuo na wanataaluma wake wote!

Au wewe Prof. Manyele unajitafutia ajira ya miaka 9 ijayo?
 
Back
Top Bottom