Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

Bora hoja za akina Musukuma na wenzake akina Lusinde zinaeleweka na kupimika kuliko hawa wabobezi wa makaratasi.

Leo hii hoja ikitolewa na mwanazuoni hadi unajiuliza anatuchukuliaje sisi darasa la saba?, yaani ni aibu tupu. Ikifikia hatua kama hii bora mtu utafute hela itakufaa wewe na vizazi vyako kuliko kutafuta maarifa yaliyoandikwa kwenye makaratasi na kuishia kuwa kama Prof Mayele.
 
Amefafanua zaidi........maelezo yake ya awali hayakueleweka na wadau

Huoni kuwa labda tatizo liko hapa?

IMG_20220326_185827_454.jpg


Si kuwa mwamba haeleweki?
 
Back
Top Bottom