Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

Well done prof.[emoji1376]

Aya, subiria teuzi za mama.
 
Hivi Huyu jamaa na misuti yake haoni aibu? Hivi anadhani dunia ya Sasa Ni ile ya dhama zile, Nampa pole Sana.
Huko wanakokalia V8 za bure kwa kodi zetu zinawafanya walegee akili sasa wanatumia makalio yao kufikiria anadhani na sisi hadhira yake wote tunatumia makalio.
 
Mabeberu yanatucheka yananunua uhai wa manyani ya afrika kwa vimilions USD what a shame mbuzi wanakula kwa urefu waa kamba zao
 
Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao.

Sasa hivi tuko kwenye uozo:

View attachment 2165218

Tuko kimya siyo kuwa hatuoni.

Tuelewane:

"Vikwazo katiba mpya vinatukera zaidi."
Hii sababu ina mashiko....tuheshimu taaluma.
 
Yupo karibu kustaafu anajitengezea mazingira mazuri ya baadae. Bora wangekaa kimya tu kuliko kuzua taharuki zaidi ya maisha ya watu.
 
Wakati ni muafaka kuhakiki upya phd holders hasa wa Dar es saalam university.
 
Si atulie tu mbona kama anazidi kujidhalilisha.
 
Watu walidhani Ng'ombe wanajisaidia mtoni😂 Ripoti ni ileile tofauti ni misamiati tu. "Viumbe - Vifu" ujumuisho wa vinyesi, mikojo na magugu maji, mafuta ya mimea, visasababishavyo ukosefu wa Oksijeni. Na vinaingia mtoni kwa kusombwa na tope lililosombwa na mvua toka nchi kavu.

 
Amefafanua ripoti ya awali.........vinyesi vya ng'ombe, mabaki ya wanyawa waliokufa na uchafu mwingine uliokuwa umejikusanya chini ya mto ulitibuliwa na mvua kubwa iliyonyesha huko hivyo kuchafua mto.

Sasa wewe unataka kalikoroga. Kwa ripoti yake awali alikuwa anacheza humu kwenye 25kg na 21l.

IMG_20220326_200656_660.jpg


Wewe waona kurejea alikotoka?
 
Back
Top Bottom