Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

Bora hoja za akina Musukuma na wenzake akina Lusinde zinaeleweka na kupimika kuliko hawa wabobezi wa makaratasi.

Leo hii hoja ikitolewa na mwanazuoni hadi unajiuliza anatuchukuliaje sisi darasa la saba?, yaani ni aibu tupu. Ikifikia hatua kama hii bora mtu utafute hela itakufaa wewe na vizazi vyako kuliko kutafuta maarifa yaliyoandikwa kwenye makaratasi na kuishia kuwa kama Prof Mayele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…