Muulize huyo Profesa Tibaijuka, hizo tume nyingine duniani ni lazima ziwe za kijaji?.'' Tume inalazimika kutumia Wataalam kutoka ndani na nje ya Nchi wenye uwezo...'' Bw. Steven Joel Ntamusano si ulisema watu kutoka nje hawahitajiki!
''... Taarifa imewataja baadhi ya wadau kuwa viongozi wa Dini, Vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserkali na watu binafsi kufika mbele ya Tume licha ya kupewa mialiko zaidi ya mara moja'' Bw. Steven Joel Ntamusano tulikueleza Tume ya Jaji Chande inategemea hisani, haina nguvu za kumwita mtu. Kilichopaswa kuwepo kama alivyoshauri Prof Tibaijuka ni Tume ya Kijaji. Hao wote wangefika si kwa wito bali kwa ulazima '' summons''
You may hate the Doctor, but you need medicine. DP inaingiaje hapa?Huyo Tibaijuka aliwahi kuupinga mkataba wa DP World lakini alipopewa shule na wanasheria mpaka kesho haongelei tena suala lile.
Zaidi ya kugoogle ni kilaza zaidi ya mamake huyu malaya hata usingemjibu.Acha ujinga, rais anaweza kumteua yoyote kuwa mbunge na kumpa uwaziri. Na ni kwa katiba hii hii ya ccm.
Mkuu tume iwe ya kijaji au ya kawaida matokeo yatakayopatikana ni yale yale.You may hate the Doctor, but you need medicine. DP inaingiaje hapa?
Hoja ya Tume ya kijaji ya Tibaijuka ndio ilihitajika. Hii Tume ya Chande haiwezi kumwita mtu ndio maana wamekwama na kuongezewa muda wakitoa wito wa Watu kwenda. Yes ni wito kwasababu hawawezi kutoa ''summons''
Kuna tofauti ndio maana zinaitwa majina tofauti. Matokeo ni tofauti kwasababu Tume ya Kijaji inaita kila mtu atake asitake. Tume ya Chande inategemea hisani na haina nguvu za kumhoji mtu.Mkuu tume iwe ya kijaji au ya kawaida matokeo yatakayopatikana ni yale yale.
Kumbuka kuwa hao kina Chande pia ni majaji wastaafu, mle kuna wataalam wa saikolojia, wataalam wa upelelezi kuna utaalam wa kila aina.
Haijalishi sana ni tume ya aina gani cha muhimu imejaa utaalam wenye kuhusiana na kile ilichotumwa kukitimiza.Kuna tofauti ndio maana zinaitwa majina tofauti. Matokeo ni tofauti kwasababu Tume ya Kijaji inaita kila mtu atake asitake. Tume ya Chande inategemea hisani na haina nguvu za kumhoji mtu.
Kuwa Jaji ni cheo tu, tunachoongelea hapa ni nguvu za Tume! si nyadhifa za watu. Hata ungeweka majaji 100 nchini au hata kuazima SADC na EAC bila nguvu za ''summons'' utapataje ukweli?
Tibaijuka yupo sahihi
Utaalamu pekee haufanyi kazi bila kuwa na uwezo. Huwezi kukusanya watu bila kuwapa nguvu yakisheria kuita watu, ukategemea matokeo tarajiwa. Hii Tume wanakataa kwenda tena wanaandika barua, huo utaalamu umesaidia vipi.Haijalishi sana ni tume ya aina gani cha muhimu imejaa utaalam wenye kuhusiana na kile ilichotumwa kukitimiza.
Tume kuundwa na Rais pekee hiyo ni nguvu ya kisheria, hii sio ya kwanza na haitakuwa tume ya mwisho.Utaalamu pekee haufanyi kazi bila kuwa na uwezo. Huwezi kukusanya watu bila kuwapa nguvu yakisheria kuita watu, ukategemea matokeo tarajiwa. Hii Tume wanakataa kwenda tena wanaandika barua, huo utaalamu umesaidia vipi.
Unachanganya mambo kwa kupotosha au kutokujuaTume kuundwa na Rais pekee hiyo ni nguvu ya kisheria, hii sio ya kwanza na haitakuwa tume ya mwisho.
Kutoitikia mwito inaweza kumaanisha uoga kwa upande wa huyo anayeitwa.Unachanganya mambo kwa kupotosha au kutokujua
Tume imeundwa kisheria kwamba Rais ana mamlaka hayo. Hiyo si kuipa nguvu za kisheria
Tume iliyoundwa kisheria haiwezi kuita watu bila nguvu za kisheria ndio maana Chande anatoa WITO
Tume yenye nguvu za kisheria inaita watu kwa ''SUMMONS'' siyo Wito
May be, lakini ukweli unabaki pale pale Tume ya Chande haiwezi kuwaita kwa lazima. Kudhihirisha hilo wapo akina Mpina wamekataa kwa barua hadharani.Kutoitikia mwito inaweza kumaanisha uoga kwa upande wa huyo anayeitwa.
Ukizungumzia uhusika utafungua pandora box!Wanajijua ndani ya mioyo yao wanao uhusika kwenye machafuko yale ya October 29.
It doesn't matter, ni subordinate wa wanaonyooshewa vidole! Waziri husika ni mjumbe wa Tume!Kumbuka wajumbe wote wa tume ni mahiri kwenye masuala ya usalama.
Well, wengi walikuwa mahabusu wakati yanatokea!Hili suala linakwenda kuwaumbua wanasiasa wanaotegemea propaganda kuishi mijini.
Absolutely on point . Should have power to sabpoenaUtaalamu pekee haufanyi kazi bila kuwa na uwezo. Huwezi kukusanya watu bila kuwapa nguvu yakisheria kuita watu, ukategemea matokeo tarajiwa. Hii Tume wanakataa kwenda tena wanaandika barua, huo utaalamu umesaidia vipi.
Ohooo dear... unajaribu kuelimisha mtu ambaye ni sick mentally... sijui kama utafanikiwa.Unachanganya mambo kwa kupotosha au kutokujua
Tume imeundwa kisheria kwamba Rais ana mamlaka hayo. Hiyo si kuipa nguvu za kisheria
Tume iliyoundwa kisheria haiwezi kuita watu bila nguvu za kisheria ndio maana Chande anatoa WITO
Tume yenye nguvu za kisheria inaita watu kwa ''SUMMONS'' siyo Wito
May be, lakini ukweli unabaki pale pale Tume ya Chande haiwezi kuwaita kwa lazima. Kudhihirisha hilo wapo akina Mpina wamekataa kwa barua hadharani.
Ukizungumzia uhusika utafungua pandora box!
It doesn't matter, ni subordinate wa wanaonyooshewa vidole! Waziri husika ni mjumbe wa Tume!
Chande aliulizwa, hakuwa na jibu!
Nitajie mmoja ambaye hajawahi kuwa '' presidential appointment''
Well, wengi walikuwa mahabusu wakati yanatokea!
Kwamba tume Ina hoji majambazi wakina sabaya?Wazee wa people's power wanajitekenya na kucheka.