PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29, 2025 yaongezewa muda mpaka Aprili 3, 2026

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
'' Tume inalazimika kutumia Wataalam kutoka ndani na nje ya Nchi wenye uwezo...'' Bw. Steven Joel Ntamusano si ulisema watu kutoka nje hawahitajiki!

''... Taarifa imewataja baadhi ya wadau kuwa viongozi wa Dini, Vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserkali na watu binafsi kufika mbele ya Tume licha ya kupewa mialiko zaidi ya mara moja'' Bw. Steven Joel Ntamusano tulikueleza Tume ya Jaji Chande inategemea hisani, haina nguvu za kumwita mtu. Kilichopaswa kuwepo kama alivyoshauri Prof Tibaijuka ni Tume ya Kijaji. Hao wote wangefika si kwa wito bali kwa ulazima '' summons''
Cc Pascal Mayalla Sibonike Dark City Mag3 joka kuu The Boss
 
Hakuna cha pandora box ICC wanaangalia mbali kuliko sisi tunavyolitazama kishabiki hili suala.
Hakuna mahali ni reference ICC! Nilichoandika ni pandora box kwa kujadili ya MO29.
Sisi tunatembea na hukumu vichwani mwetu wao kesi wataihukumu kwa kutazama vigezo vyao ambavyo ni tofauti na hisia zetu zinavyotudanganya.
Sijui kama kuna kesi ! ahsante kwa Taarifa.
Mauaji ya tarehe29 October hayaingii kwenye hicho kigezo muhimu cha ufunguaji wa kesi kule The Hague, ndio maana taasisi nne zilizotumwa kule na wanaharakati kuishtaki Tanzania, zote zimeangukia pua kisha zimetokomea kimya kimya.
FM Kombo alikuwa anaongelea nini alipokutana nao kule Ethiopia?
Kuundwa kwa tume ni moja ya hatua muhimu za kisheria kuonyesha kwamba hatua za kupata ufumbuzi zimeanzishwa mahali palipotokea mauaji hayo.
True! Integrity ya Tume ipo vipi? Imeundwaje , inafanyaje kazi! hayo ni maswali muhimu.
Jaji Chande aliulizwa kuhusu conflict of interest ya S. Tax, hakuweza kujibu. Integrity and credibility ya Tume ipoje?
Mpina kutoitikia mwito halafu tume ikashindwa kufanya lolote haijaharibu chochote katika mtiririko wa yale ambayo tume inayahitaji kuyapata.
Ni mfano tu wa Mpina na Mwamakula. Tume inapoita mtu kuna kitu inakiona ni muhimu. Hai iti tu kujaza ukumbi.
Nikupe mfano, ikiwa kuna mtu anadai alifirwa na Bw. XY,unawezaje kutoa taarifa bila kumhoji XY kupata upande wa pili. Ikiwa XY hataki kuja na huna uwezo wa kumwita, hiyo taarifa conclusion yake inakuwaje!

Kukosa nguvu za kisheria kumwita mtu ni kukosa ithibati au ushahidi. Ndio maana hoja ya Profesa Tibaijuka kuhusu Tume ya kijaji ina mantiki. Kwamba, anayetuhumu na anayetuhumiwa wanapaswa kusikilizwa hata kama hawataki, ni lazima
 
Hakuna mahali ni reference ICC! Nilichoandika ni pandora box kwa kujadili ya MO29.

Sijui kama kuna kesi ! ahsante kwa Taarifa.

FM Kombo alikuwa anaongelea nini alipokutana nao kule Ethiopia?

True! Integrity ya Tume ipo vipi? Imeundwaje , inafanyaje kazi! hayo ni maswali muhimu.
Jaji Chande aliulizwa kuhusu conflict of interest ya S. Tax, hakuweza kujibu. Integrity and credibility ya Tume ipoje?

Ni mfano tu wa Mpina na Mwamakula. Tume inapoita mtu kuna kitu inakiona ni muhimu. Hai iti tu kujaza ukumbi.
Nikupe mfano, ikiwa kuna mtu anadai alifirwa na Bw. XY,unawezaje kutoa taarifa bila kumhoji XY kupata upande wa pili. Ikiwa XY hataki kuja na huna uwezo wa kumwita, hiyo taarifa conclusion yake inakuwaje!

Kukosa nguvu za kisheria kumwita mtu ni kukosa ithibati au ushahidi. Ndio maana hoja ya Profesa Tibaijuka kuhusu Tume ya kijaji ina mantiki. Kwamba, anayetuhumu na anayetuhumiwa wanapaswa kusikilizwa hata kama hawataki, ni lazima
ICC walikuwa wanapangisha ofisi zao pale Arusha wakazifunga miaka ya nyuma, hivi sasa wanataka kununua eneo wajenga ofisa hapo hapo Arusha, Kombo alikuwa akiongea na jamaa wa ICC suala hilo la upatikanaji wa ardhi ili waweze kuanza kujenga ofisi katika Geneva ya Afrika.

Tume imeundwa namna ile ile zinavyoundwa nyinginezo, inafanya kazi na mwezi April itakuja na report kamili ambayo atapewa SSH.

Huwezi kusema haina nguvu ya kisheria kisa Mpina na mwingine wamekataa kuhojiwa, wapo wengi sana wamehojiwa na taarifa zao zimeisaidia tume,

Ukiona mtu anaitwa halafu anasita jua huyo anaogopa yanayoweza kumkuta pia anaweza kuwa na uhusika na ule ushenzi wa Oct29.

Tume inaundwa na jaji mkuu mstaafu halafu isiwe na nguvu ya kisheria!. Tuwe wapole tu watakuja na yote waliyoyapata wakiwa kazini.
 
Unajua mnawafanya Watanzania wapumbavu . Hivi suala la kiwanja linahitaji sideline meetings!
EALS waliomba kiwanja Arusha na kupewa na mkuu wa mkoa, leo inahitaji mtu kutoka The Hague na FM?

Tume imeundwa kama ile ya Bomani ya kuchunguza madini! hivi MO29 ni tukio la kawaida nchini!
Kuundwa kwa Tume hakuna tatizo, shida ni inapokosa meno! Yaani haina '' tools'' za kukamilisha majukumu

Nitajie mmoja tu aliyeitwa kwa lazima! Mpina na Mwamakula na wengine wamesema hawaendi na hakuna kilichotokea kwao kwasababu ni wito tu! Tibaijuka ana hoja, Tume ya Kijaji inakuita kwa lazima kwa Tarehe na muda! ukikataa ni kosa.

Ndio maana Tibaijuka ana hoja, kwamba, waliokataa unaodhani wana jambo tutapataje taarifa zao?

Ndipo unaonyesha umuhimu wa ulazima, kwamba,pengine wapo waliofanya mabaya ya kutisha, wakiitwa kwa WITO wanahiari ya kwenda au kutokwenda na hakuna litakalowatokea.

None sense! Majaji wakuu au majaji wakiwa jirani zako mtaani hawana mamlaka nawewe.
Yaani Jaji mkuu mstaafu ni Jirani kama Jirani mwingine yoyote muuza miwa au mkaanga chips

Jaji anapoteuliwa katika Tume ni kwa mujibu wa sheria. Anapofanya kazi za uteuzi ni kwa mujibu wa sheria.
Ni kama ile Tume ya Korosho au Bomani au kuchunguza , ziliundwa kwa mujibu wa sheria

Tofauti ya Tume ya Kijaji anayosema Profesa Tibaijuka ni uwezo wa kumwita mtu atake asitake, kumtaka mtu azungumze atake asitake. Ina mamlaka ya kumfikisha na kumfunga mtu atake asitake.

Msidhani Watanzani, wanajua tofauti ya nini alichosema Tibaijuka
 
Mpumbavu au upumbavu ni akili yako binafsi. Kwa taarifa yako hakuna kesi yoyote ambayo Rais Samia atashtakiwa na ICC wala hakuna mtu yoyote mwingine atakayekuja kushtakiwa kwa yale mauaji.

Hiyo hiyo tume isiyo na meno inamalizia kazi mwezi April mwaka huu, lengo lake limeshatimizwa.

Kwanini waitwe kwa lazima wakati maelfu ya mashahidi wameshatoa ushahidi, pia AG alisema hata watu wasipoleta ushahidi zipo video za matukio ya siku zile za machafuko zitatumika kama ushahidi wakija hao ICC.

It doesn't matter mkuu, yaliyofanywa na tume hii hii yametosha kufikisha lengo lililotarajiwa, hiyo tume ya kijaji ni mbwembwe tu.
 
MADHUMUNI YA KUONGEZA MUDA ni kutoa fursa na muda wa kutosha kwa kila mwenye taarifa, ushahidi au maoni, aliyepo nchini au nje ya nchi, kuwasiliana na Tume ili kuhakikisha kuwa hakuna mtu yeyote, au taasisi yoyote, itakayokosa nafasi ya kusikilizwa. Sababu nyingine za kuongeza muda ni pamoja na zifuatazo:
GENEVA, UN HRC

Jaji alipokuwa akitoa muktasari ukiukwaji wa haki na mauaji Sudan. alipokuwa akitoa muktasari ukiukwaji wa haki na mauaji Sudan.

Jaji Mohamed Chande Othman mwenyekiti wa Tume ya Samia kuhusu October 29, naye akiwa Geneva, anaonekana ana kazi nyingi na kofia kibao kiasi ameacha yale aliyotumwa na Samia ili atumikie wadhifa wake wa Umoja wa Mataifa alipokuwa akitoa muktasari ukiukwaji wa haki na mauaji Sudan.

Si ajabu ndiyo maana wakaomba siku 42 za ziada kukamilisha kazi ya Tume ya Samia maana jaji Mohamed Chande Othman ana majukumu kibao

Geneva, UN
Human Rights Council
February 26, 2026

Sudan | "The situation around El-Fasher exhibits clear hallmarks of genocide by the Rapid Support Forces," the Chair of the Independent International Fact-Finding Mission for the country, Mohamed Chande Othman, told the United Nations Human Rights Council...

View: https://m.youtube.com/shorts/1MbhjpRF0FE
 
Katiba hairuhusu kuteua waziri toka chama kingine
Mkitunga uwongo jitahidini uwe na nukta za ukweli
unaelewa nini juu ya maridhiano ,kwamba endapo chadema watakubali ,bunge la dharula laweza itishwa kubadilisha sheria usishangae
 
Mpaka bunge liitishwe,katiba irekebishwe,na hakuna wa kufanya hivyo,yaani mzawadiwe baada ya kuleta ucenge?
 
Hamna la maana kiutoka kwa hawa watu.

Kama vipi, waongeze tena mwaka mzima.
 
Mpaka bunge liitishwe,katiba irekebishwe,na hakuna wa kufanya hivyo,yaani mzawadiwe baada ya kuleta ucenge?
aZawadiwe nani sikila mchangiaji hapa ni mwanaccm au ACT ishi hivyo sikila akutongozaye kakupiga trees
 
Back
Top Bottom