Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Cc Pascal Mayalla Sibonike Dark City Mag3 joka kuu The Boss'' Tume inalazimika kutumia Wataalam kutoka ndani na nje ya Nchi wenye uwezo...'' Bw. Steven Joel Ntamusano si ulisema watu kutoka nje hawahitajiki!
''... Taarifa imewataja baadhi ya wadau kuwa viongozi wa Dini, Vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserkali na watu binafsi kufika mbele ya Tume licha ya kupewa mialiko zaidi ya mara moja'' Bw. Steven Joel Ntamusano tulikueleza Tume ya Jaji Chande inategemea hisani, haina nguvu za kumwita mtu. Kilichopaswa kuwepo kama alivyoshauri Prof Tibaijuka ni Tume ya Kijaji. Hao wote wangefika si kwa wito bali kwa ulazima '' summons''
Hakuna mahali ni reference ICC! Nilichoandika ni pandora box kwa kujadili ya MO29.Hakuna cha pandora box ICC wanaangalia mbali kuliko sisi tunavyolitazama kishabiki hili suala.
Sijui kama kuna kesi ! ahsante kwa Taarifa.Sisi tunatembea na hukumu vichwani mwetu wao kesi wataihukumu kwa kutazama vigezo vyao ambavyo ni tofauti na hisia zetu zinavyotudanganya.
FM Kombo alikuwa anaongelea nini alipokutana nao kule Ethiopia?Mauaji ya tarehe29 October hayaingii kwenye hicho kigezo muhimu cha ufunguaji wa kesi kule The Hague, ndio maana taasisi nne zilizotumwa kule na wanaharakati kuishtaki Tanzania, zote zimeangukia pua kisha zimetokomea kimya kimya.
True! Integrity ya Tume ipo vipi? Imeundwaje , inafanyaje kazi! hayo ni maswali muhimu.Kuundwa kwa tume ni moja ya hatua muhimu za kisheria kuonyesha kwamba hatua za kupata ufumbuzi zimeanzishwa mahali palipotokea mauaji hayo.
Ni mfano tu wa Mpina na Mwamakula. Tume inapoita mtu kuna kitu inakiona ni muhimu. Hai iti tu kujaza ukumbi.Mpina kutoitikia mwito halafu tume ikashindwa kufanya lolote haijaharibu chochote katika mtiririko wa yale ambayo tume inayahitaji kuyapata.
ICC walikuwa wanapangisha ofisi zao pale Arusha wakazifunga miaka ya nyuma, hivi sasa wanataka kununua eneo wajenga ofisa hapo hapo Arusha, Kombo alikuwa akiongea na jamaa wa ICC suala hilo la upatikanaji wa ardhi ili waweze kuanza kujenga ofisi katika Geneva ya Afrika.Hakuna mahali ni reference ICC! Nilichoandika ni pandora box kwa kujadili ya MO29.
Sijui kama kuna kesi ! ahsante kwa Taarifa.
FM Kombo alikuwa anaongelea nini alipokutana nao kule Ethiopia?
True! Integrity ya Tume ipo vipi? Imeundwaje , inafanyaje kazi! hayo ni maswali muhimu.
Jaji Chande aliulizwa kuhusu conflict of interest ya S. Tax, hakuweza kujibu. Integrity and credibility ya Tume ipoje?
Ni mfano tu wa Mpina na Mwamakula. Tume inapoita mtu kuna kitu inakiona ni muhimu. Hai iti tu kujaza ukumbi.
Nikupe mfano, ikiwa kuna mtu anadai alifirwa na Bw. XY,unawezaje kutoa taarifa bila kumhoji XY kupata upande wa pili. Ikiwa XY hataki kuja na huna uwezo wa kumwita, hiyo taarifa conclusion yake inakuwaje!
Kukosa nguvu za kisheria kumwita mtu ni kukosa ithibati au ushahidi. Ndio maana hoja ya Profesa Tibaijuka kuhusu Tume ya kijaji ina mantiki. Kwamba, anayetuhumu na anayetuhumiwa wanapaswa kusikilizwa hata kama hawataki, ni lazima
Unajua mnawafanya Watanzania wapumbavu . Hivi suala la kiwanja linahitaji sideline meetings!ICC walikuwa wanapangisha ofisi zao pale Arusha wakazifunga miaka ya nyuma, hivi sasa wanataka kununua eneo wajenga ofisa hapo hapo Arusha, Kombo alikuwa akiongea na jamaa wa ICC suala hilo la upatikanaji wa ardhi ili waweze kuanza kujenga ofisi katika Geneva ya Afrika.
Tume imeundwa kama ile ya Bomani ya kuchunguza madini! hivi MO29 ni tukio la kawaida nchini!Tume imeundwa namna ile ile zinavyoundwa nyinginezo, inafanya kazi na mwezi April itakuja na report kamili ambayo atapewa SSH.
Nitajie mmoja tu aliyeitwa kwa lazima! Mpina na Mwamakula na wengine wamesema hawaendi na hakuna kilichotokea kwao kwasababu ni wito tu! Tibaijuka ana hoja, Tume ya Kijaji inakuita kwa lazima kwa Tarehe na muda! ukikataa ni kosa.Huwezi kusema haina nguvu ya kisheria kisa Mpina na mwingine wamekataa kuhojiwa, wapo wengi sana wamehojiwa na taarifa zao zimeisaidia tume,
Ndio maana Tibaijuka ana hoja, kwamba, waliokataa unaodhani wana jambo tutapataje taarifa zao?Ukiona mtu anaitwa halafu anasita jua huyo anaogopa yanayoweza kumkuta pia anaweza kuwa na uhusika na ule ushenzi wa Oct29.
None sense! Majaji wakuu au majaji wakiwa jirani zako mtaani hawana mamlaka nawewe.Tume inaundwa na jaji mkuu mstaafu halafu isiwe na nguvu ya kisheria!. Tuwe wapole tu watakuja na yote waliyoyapata wakiwa kazini.
Mpumbavu au upumbavu ni akili yako binafsi. Kwa taarifa yako hakuna kesi yoyote ambayo Rais Samia atashtakiwa na ICC wala hakuna mtu yoyote mwingine atakayekuja kushtakiwa kwa yale mauaji.Unajua mnawafanya Watanzania wapumbavu . Hivi suala la kiwanja linahitaji sideline meetings!
EALS waliomba kiwanja Arusha na kupewa na mkuu wa mkoa, leo inahitaji mtu kutoka The Hague na FM?
Tume imeundwa kama ile ya Bomani ya kuchunguza madini! hivi MO29 ni tukio la kawaida nchini!
Kuundwa kwa Tume hakuna tatizo, shida ni inapokosa meno! Yaani haina '' tools'' za kukamilisha majukumu
Nitajie mmoja tu aliyeitwa kwa lazima! Mpina na Mwamakula na wengine wamesema hawaendi na hakuna kilichotokea kwao kwasababu ni wito tu! Tibaijuka ana hoja, Tume ya Kijaji inakuita kwa lazima kwa Tarehe na muda! ukikataa ni kosa.
Ndio maana Tibaijuka ana hoja, kwamba, waliokataa unaodhani wana jambo tutapataje taarifa zao?
Ndipo unaonyesha umuhimu wa ulazima, kwamba,pengine wapo waliofanya mabaya ya kutisha, wakiitwa kwa WITO wanahiari ya kwenda au kutokwenda na hakuna litakalowatokea.
None sense! Majaji wakuu au majaji wakiwa jirani zako mtaani hawana mamlaka nawewe.
Yaani Jaji mkuu mstaafu ni Jirani kama Jirani mwingine yoyote muuza miwa au mkaanga chips
Jaji anapoteuliwa katika Tume ni kwa mujibu wa sheria. Anapofanya kazi za uteuzi ni kwa mujibu wa sheria.
Ni kama ile Tume ya Korosho au Bomani au kuchunguza , ziliundwa kwa mujibu wa sheria
Tofauti ya Tume ya Kijaji anayosema Profesa Tibaijuka ni uwezo wa kumwita mtu atake asitake, kumtaka mtu azungumze atake asitake. Ina mamlaka ya kumfikisha na kumfunga mtu atake asitake.
Msidhani Watanzani, wanajua tofauti ya nini alichosema Tibaijuka
GENEVA, UN HRCMADHUMUNI YA KUONGEZA MUDA ni kutoa fursa na muda wa kutosha kwa kila mwenye taarifa, ushahidi au maoni, aliyepo nchini au nje ya nchi, kuwasiliana na Tume ili kuhakikisha kuwa hakuna mtu yeyote, au taasisi yoyote, itakayokosa nafasi ya kusikilizwa. Sababu nyingine za kuongeza muda ni pamoja na zifuatazo:
unaelewa nini juu ya maridhiano ,kwamba endapo chadema watakubali ,bunge la dharula laweza itishwa kubadilisha sheria usishangaeKatiba hairuhusu kuteua waziri toka chama kingine
Mkitunga uwongo jitahidini uwe na nukta za ukweli
Mpaka bunge liitishwe,katiba irekebishwe,na hakuna wa kufanya hivyo,yaani mzawadiwe baada ya kuleta ucenge?unaelewa nini juu ya maridhiano ,kwamba endapo chadema watakubali ,bunge la dharula laweza itishwa kubadilisha sheria usishangae
aZawadiwe nani sikila mchangiaji hapa ni mwanaccm au ACT ishi hivyo sikila akutongozaye kakupiga treesMpaka bunge liitishwe,katiba irekebishwe,na hakuna wa kufanya hivyo,yaani mzawadiwe baada ya kuleta ucenge?