Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone yarejesha bilioni 34 zilichukuliwa na Salim Mansaray, mfanyakazi wa benki, ambaye alizificha Dubai

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu wa Tume hiyo, alithibitisha kuwa fedha hizi, zinazokaribia Shilingi za Sierra Leone bilioni 34, zilichukuliwa na Salim Mansaray, mfanyakazi wa benki, ambaye alikuwa akijificha Dubai.
1733127247522.png
Tume hiyo ilimrudisha Mansaray nchini Sierra Leone, ambapo si tu walirejesha fedha hizo za wizi, bali pia walifunga akaunti zake binafsi zilizokuwa na zaidi ya Shilingi za Sierra Leone milioni 1, na kumfanya kuwa maskini (kumfilisi). Mansaray amekiri kosa lake na kukubali kufanya vitendo vya rushwa na utakatishaji fedha.
1733127284997.png
====

Sierra Leone’s anti-corruption commission has recovered around US$1.5 million from a corrupt official. The head of the commission, Francis Ben Kaifala, stated that this amount, which is over NLe34 million, was taken by a single individual, Salim Mansaray, who was hiding in Dubai. The commission brought him back to Sierra Leone.

They not only retrieved most of the stolen money but also closed his personal accounts, which held over NLe1 million, effectively bankrupting him. Mansaray has been charged and has admitted guilt to several corruption and money laundering crimes. Kaifala assured that the recovered funds will be returned to the people of Sierra Leone and emphasized that these criminals will not escape justice.
1733127339877.png
At a press conference held at the ACC headquarters on Tuesday, Commissioner Francis Ben Kaifala revealed that the funds were embezzled by Salim Mansaray, a former bank worker who had been quietly siphoning large sums of money while working in a corner of the bank. Mansaray, who had fled the country to Dubai, was later extradited to Sierra Leone after a joint effort by local and international authorities.

“This sea of money represents the over NLe 34 million stolen by a single individual,” Kaifala said. “We have successfully recovered this entire amount, ensuring that the funds are returned to the people of Sierra Leone.”

In addition to recovering the stolen funds, the ACC also seized over NLe 1 million from Mansaray’s personal accounts, effectively bankrupting him. The Commissioner stated that Mansaray had been charged with several corruption and money laundering offenses and had pleaded guilty.

“He has been run bankrupt,” Kaifala declared, highlighting the severity of the actions taken against the former bank employee. “In addition to the recovery of the stolen funds, we have ensured that he faces full legal consequences for his crimes.”

Kaifala assured the public that the recovered money would be returned to the people of Sierra Leone, reaffirming the ACC’s commitment to holding corrupt individuals accountable.

“These criminals cannot hide. We will continue to pursue anyone who misappropriates money meant for the people of Sierra Leone,” he vowed. “They will repay every penny and face the consequences of their actions. Enough is enough!”

The recovery marks a major success in the ACC’s on-going efforts to combat corruption and restore integrity to the public sector. Kaifala’s statement serves as a stark warning to anyone seeking to exploit public resources for personal gain: “We will hound anyone who touches money meant for the people of Sierra Leone.”

Source: forumnews-sl.com
 
Kazi nzuri sana jamaa wameifanya kwanza kurejesha rasilimali za umma lakini pia kutoa fundisho na ku-discourage wengine kufikiria kufanya huo wozi wa rasilimali fedha za umma.
 
Tukifanya hii crack down Tanzania, ndani ya mwaka tu, Nchi itakuwa imekusanya hela nyingi sana na mwaka unaofuatia Taifa linaweza kupiga hatua kubwa sana kiuchumi.
 
Wapo kukimbizana na upinzani nani yupo na hilo wazo? yule Marehemu wa juzi hio si ndio ilikuwa michezo yake mpaka Magu akampiga chini ila kwa sababu alikua ni 'blue-eyed boy' wa JK alipokuja Bibi kizee akamrudisha tena aendelee kupiga mpaka anakata upepo hajarudisha hata 100
 
T hi
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Sierra Leone imefanikiwa kurejesha dola milioni 1.5 (TSh. Bilioni 3.960) kutoka kwa mfanyakazi wa benki aliyehusika na vitendo vya rushwa. Francis Ben Kaifala, Mkuu wa Tume hiyo, alithibitisha kuwa fedha hizi, zinazokaribia Shilingi za Sierra Leone bilioni 34, zilichukuliwa na Salim Mansaray, mfanyakazi wa benki, ambaye alikuwa akijificha Dubai.
Tume hiyo ilimrudisha Mansaray nchini Sierra Leone, ambapo si tu walirejesha fedha hizo za wizi, bali pia walifunga akaunti zake binafsi zilizokuwa na zaidi ya Shilingi za Sierra Leone milioni 1, na kumfanya kuwa maskini (kumfilisi). Mansaray amekiri kosa lake na kukubali kufanya vitendo vya rushwa na utakatishaji fedha.
====

Sierra Leone’s anti-corruption commission has recovered around US$1.5 million from a corrupt official. The head of the commission, Francis Ben Kaifala, stated that this amount, which is over NLe34 million, was taken by a single individual, Salim Mansaray, who was hiding in Dubai. The commission brought him back to Sierra Leone.

They not only retrieved most of the stolen money but also closed his personal accounts, which held over NLe1 million, effectively bankrupting him. Mansaray has been charged and has admitted guilt to several corruption and money laundering crimes. Kaifala assured that the recovered funds will be returned to the people of Sierra Leone and emphasized that these criminals will not escape justice.
At a press conference held at the ACC headquarters on Tuesday, Commissioner Francis Ben Kaifala revealed that the funds were embezzled by Salim Mansaray, a former bank worker who had been quietly siphoning large sums of money while working in a corner of the bank. Mansaray, who had fled the country to Dubai, was later extradited to Sierra Leone after a joint effort by local and international authorities.

“This sea of money represents the over NLe 34 million stolen by a single individual,” Kaifala said. “We have successfully recovered this entire amount, ensuring that the funds are returned to the people of Sierra Leone.”

In addition to recovering the stolen funds, the ACC also seized over NLe 1 million from Mansaray’s personal accounts, effectively bankrupting him. The Commissioner stated that Mansaray had been charged with several corruption and money laundering offenses and had pleaded guilty.

“He has been run bankrupt,” Kaifala declared, highlighting the severity of the actions taken against the former bank employee. “In addition to the recovery of the stolen funds, we have ensured that he faces full legal consequences for his crimes.”

Kaifala assured the public that the recovered money would be returned to the people of Sierra Leone, reaffirming the ACC’s commitment to holding corrupt individuals accountable.

“These criminals cannot hide. We will continue to pursue anyone who misappropriates money meant for the people of Sierra Leone,” he vowed. “They will repay every penny and face the consequences of their actions. Enough is enough!”

The recovery marks a major success in the ACC’s on-going efforts to combat corruption and restore integrity to the public sector. Kaifala’s statement serves as a stark warning to anyone seeking to exploit public resources for personal gain: “We will hound anyone who touches money meant for the people of Sierra Leone.”

Source: forumnews-sl.
Duu miafrica bwana nchi yake watu wanatembelea rimu ,maisha yanawatafuna jamaa limelimbikiza mali zote hizo kweli Africa bado saaaana
 
Tukifanya hii crack down Tanzania, ndani ya mwaka tu, Nchi itakuwa imekusanya hela nyingi sana na mwaka unaofuatia Taifa linaweza kupiga hatua kubwa sana kiuchumi.
Waanze na Abdul mjukuu wa kizimkazi jumba la kifahari Dubai analoishi halitokani na mkataba wa kuwazawadia Dp world bandari yetu?
 
Tusisahau bilion tatu kwetu mafisadi wanaita ni hela ya mboga.
Sisi huku kwetu mtu mmoja anapiga hadi billion mia 5 na hakuna kesi
 
Back
Top Bottom