Tume ya Sayansi Yampa Mkopo wa Milioni 100 Mbunifu wa Helikopta Ili aendeleze Teknolojia.

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
83,659
Reaction score
90,151
My Take
Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres .

Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme.

Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga.

View: https://www.instagram.com/reel/DbtKATzgNHz/?igsh=MWd1djdjd3BwNWZudA==

Wajinga ndio waliwao.
Sasa mnampa milioni kumi kama zawadi au kuendeleza ubunifu?
Watu wenye akili wanafanya hivi:
Mchukueni huyo kijana , mpeleke aanzishe KIWANDA na apate mkop wa mamilioni.
Ijengwe helikopta Prototype.
Halafu kijana asaidiwe kiwanda hicho kijenge helikopta kwa ajili ya soko.
Hapo utakuwa umeondoa ujinga na kusaidi sekta nyingi kibiashara.
 
Ni 100m mkuu siyo kumi
 
Neno ubunifu linatumika ndivyo sivyo huo sio ubunifu, kuna helikopta zinabeba tani 20 bora ingekua haiitaji rubani tungeuita ubunifu , huko ni kurudi nyuma na sio kwenda mbele.
Kama wapuuzi helikopta tayari ilishagunduliwa hakuna jipya hapo

Ingependeza kama ingekuwa haitumii kabisa mafuta!
 
Hiyo hela bora mngeenda kuwagawia watu wanaoishi kwenye kaya masikini ili na wenyewe wapate unafuu wa maisha. Ubunifu ni uvumbuzi unaotakiwa kuiletea jamii unafuu wa maisha au wa kupata huduma.

Mfano yule jamaa wa Njombe aliyejenga mitambo ya umeme wa maji, wagunduzi wa mashine mbalimbali muhimu kwa ajili ya kilimo, nk. ndiyo wanastahili kupewa ruzuku/msaada na serikali. Na siyo hawa wanaounda mabati eti kwa ajili ya helkopta! Huu ni upuuzi.

Kwanza hiyo helkopta yenyewe ni usafiri hatarishi pamoja na kutengenezwa na makampuni makubwa duniani! Sasa huyu mbunifu wenu anayeitengeneza kwa mascrepa, ina mchango gani kwa jamii baada ya kukamilika? Si itamuua tu yeye mwenyewe kama atajaribu kuirusha?
 
Itakuwa sababu imeandikwa royal tour ndiyo sababu ya kupewa milioni 100 na siyo uvumbuzi.Si unajua awamu hii ukisifu tu juhudi unalamba teuzi au pesa za kutosha.
 
Hiyo hela bora mngeenda kuwagawia watu wanaoishi kwenye kaya masikini ili na wenyewe wapate unafuu wa maisha. Ubunifu ni uvumbuzi unaotakiwa kuiletea jamii unafuu wa maisha au wa kupata huduma.

Mfano yule jamaa wa Njombe aliyejenga mitambo ya umeme wa maji, wagunduzi wa mashine mbalimbali muhimu kwa ajili ya kilimo, nk. ndiyo wanastahili kupewa ruzuku/msaada na serikali. Na siyo hawa wanaounda mabati eti kwa ajili ya helkopta! Huu ni upuuzi.

Kwanza hiyo helkopta yenyewe ni usafiri hatarishi pamoja na kutengenezwa na makampuni makubwa duniani! Sasa huyu mbunifu wenu anayeitengeneza kwa mascrepa, ina mchango gani kwa jamii baada ya kukamilika? Si itamuua tu yeye mwenyewe kama atajaribu kuirusha?
Ni ukweli ambao hawawezi kuuelewa helicopter kwanza ni complex mno kiwango ambacho si kwamba tunadharau ina principle nyingi mno za kuzielewa na kufanyia majaribio kabla ya first flight ni basi tu.
 
Neno ubunifu linatumika ndivyo sivyo huo sio ubunifu, kuna helikopta zinabeba tani 20 bora ingekua haiitaji rubani tungeuita ubunifu , huko ni kurudi nyuma na sio kwenda mbele.
Wivu
 
Back
Top Bottom