My Take
Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres .
Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme.
Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga.
View: https://www.instagram.com/reel/DbtKATzgNHz/?igsh=MWd1djdjd3BwNWZudA==
Haijawahi kuruka hata futi moja, ni debe tu.Ni ukweli ambao hawawezi kuuelewa helicopter kwanza ni complex mno kiwango ambacho si kwamba tunadharau ina principle nyingi mno za kuzielewa na kufanyia majaribio kabla ya first flight ni basi tu.
Hatujaanza Leo kuzitengenezaHiyo helikopta ikikamilika napendekeza abiria wake wa kwanza awe ni samia na imsafirishe kutoka dodoma hadi kizimkazi nonstop ili kuitest!.
Zama hizi watu wanaenda kwenye sayari zingine, sisi bado tunaendelea kujazana tope kwenye ubongoMambo mengine ni aibu tupu.😠😠😠😠
My Take
Kuwe na Mfuko maalumu wa kuwawezesha wabunifu tuu na WA link na research centres .
Kuna mwingine kule Njombe ameishia la saba ila ametengwdza mfumo wa umeme.
Tukienda hivi tuswapita Iran.Kukariri vya wengine huko madarasani ni ku endeleza ujinga.
View: https://www.instagram.com/reel/DbtKATzgNHz/?igsh=MWd1djdjd3BwNWZudA==
seriously!Kama wapuuzi helikopta tayari ilishagunduliwa hakuna jipya hapo
Nimeangalia nikidhani itaruka mita moja, sikuona hata pangaboi zikizunguruka! Pale Kibaha Pichayandege ipo ndege ina umri wa mtu mzima lakini hairuki, naye sijui kama bado yu hai tumuite mbunifu wa ndege! It's sheer useless politics. Hiyo helikopta ni sawa na pipa lisiloweza kubeba maji.