Uchaguzi 2020 Tume ya taifa ya uchaguzi (NEC), nawasihi, kupitisha jina la Lissu kugombea Urais, ni kuweka rehani Amani na Usalama wa Taifa

Vipi kuhusu yule aliyesema Ole wake Mkurugenzi yoyote atakayemtangaza Mpinzani mshindi huyu tume imfanyeje ndugu? tunaomba majibu
Mtukufu alisema mkurugenzi kamteua kampa Gari kisha asikie anamtangaza mpinzani huu ndiyo uvunjaji Amani sasa lakini CCM wamejitoa fahamu wanawaona watanzania ni wajinga kuliko wao.
 
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
irak iko afrika?

Nenda kasome atlas upya ndipo uje na propagada
 
CCM ndio imekufanya uvimbewe na kuleta huu uharo wako ,bila CCM ungekuwa gay tu
Wavuta Bangi wa CCM mmeamka sasa Bangi zimewafanya kuiona CCM imeleta maendeleo kama America china German na kwingineko Duniani kwenye maendeleo
 
Hizo pesa mlizowapa bichwa kubwa kubwa jinga Shibuda na Profeselii wa Olijino comedy lipumba singo mzee mchepuko wa sakaya kwenda kumfanyia fujo Tundu ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi, ni kwa nini hamuitumii hiyo pesa kuleta maendeleo kisha muwachie wananchi ndipo waamue
 
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusuu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo na wale maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Ulipaswa kushauri alipopigwa risasi, umoja na amani havipo Tanzania, kama watanzania walio wengi hawana amani mioyoni mwao unathani ujumla wa unacho kiita amani kitatoka wapi, vijana wanaopata ajira in wenye mlengo wa mchicha! Private sector ime yumba, udini na ukabila umeshamili kwa spidi ya mwanga! Lissu anatakiwa kujibiwa kwa hoja!
 
We Pimbi, si Mmeleta maendeleo hadi kufikia uchumi wa kati, hofu yenu inatokana na nini hasa? Wapiga kura ni mabeberu au wananchi? Simameni mueleze ujenzi wa barabara, reli, madaraja na ndege then wananchi waamue. Acheni cheep politics nyie MATAGA
Malaya wa kisiasa huwa hawajali maendeleo, wao dhamira yao kuu ni kutimiza matakwa ya mabwana zao, Libya na Iraq ni mifano mizuri ya siasa za upuppet wa wapinzani wengi Africa na kwengineko duniani.
 
Huu mwaka mpaka uishe mtanyooka tu, Wewe kuanzia January utakua unaitwa theshortest, na chama chako cha kijani, wakati huo kikuwa na rangi ya kahawia kimepaukaa, ndo kitakacho sambaratika! Tanzania mpya chini ya Tundu Lissu na CHADEMA, itakua imara sana.
 
Kwani na hili limo kwenye ilani ya NEC ya 2020 -2025 ?
 
Huu mwaka mpaka uishe mtanyooka tu, Wewe kuanzia January utakua unaitwa theshortest, na chama chako cha kijani, wakati huo kikuwa na rangi ya kahawia kimepaukaa, ndo kitakacho sambaratika! Tanzania mpya chini ya Tundu Lissu na CHADEMA, itakua imara sana.
Kuishinda CCM uchaguzi huu ni sawa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano tunachoogopa ni vurugu zenu nyie wahuni ,wavamia biashara za watu
 
Saikolojia yako kwanza

1. Inaonyesha una ubinafsi wa ndani ,kwamba wale unaowachukia wasipewe dhamana na wale unaowapenda wapewe dhamana ya uwongozi.

2. Huwa unapenda ku jump into conclusion ,huwa unapenda kuhukumu kwa kitu ambacho hukijui na wala huna uhakika nacho..

NB. Hayo unayoyaona kwa kiongoz nimaisha binafsi ya kiongozi wala hayana uhusiano na maisha ya uwongozi. Mfano sote twajua aina flani flani ya baadhi ya makabila na mila zao mfano wasukuma na ukorofi wao au wamasai na mila yao ya kutomthamini mwanamke ndio itatupa hitimisho kwamba akichagulia mmasai, nchi itaongozwa na wanaume na wanawake watakosa haki zao kama kabila la wamasai linavyofanya ! la hasha !
Dunia ya leo haiangalii tabia ya mtu bali uwezo wake
 
Saikilojia yako kwanza

1. Inaonyesha una ubinafsi wa ndani ,kwamba wale unaowachukia wasipewe dhamana na wale unaowapenda wapewe dhamana ya uwongozi.

2. Huwa unapenda ku jump into conclusion ,huwa unapenda kuhukumu kwa kitu ambacho hukijui na wala huna ukakika nacho..

NB. Hayo unayoyaona kwa kiongoz nimaisha binafsi ya kiongozi wala hayana uhusiano na maisha ya uwongozi. Mfano sote twajua aina flani flani ya baadhi ya makabila na mila zao mfano wasukuma na ukorofi wao au wamasai na mila yao ya kutomdhamini mwanamke ndio itatupa hitimisho kwamba akichagulia mmasai nchi itaongezwa na wanaume na wanawake watakosa haki zao kama kabila la wamasai linavyofanya lahasha ! Dunia ya leo haingalii tabia ya mtu bali uwezo wake
Hii nchi si ya majaribio kwa puppets,forget about that
 
Malaya wa kisiasa huwa hawajali maendeleo, wao dhamira yao kuu ni kutimiza matakwa ya mabwana zao, Libya na Iraq ni mifano mizuri ya siasa za upuppet wa wapinzani wengi Africa na kwengineko duniani.
Mbona una andika huku umelegeza macho? Situmii izo mambo
 
Haya ni maoni yangu binafsi ,sijatumwa na mtu au taasisi yoyote ile ,bali ni utashi wa nafsi yangu baada ya kufuatilia mwenendo wa mteule huyu wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema).

Kiongozi huyu kwa kauli zake alizozitoa wakati akitafuta wadhamini ni za shari sana na amekusudia kulibomoa taifa aidha kwa yeye kutojua ,au anajua kwa makusudi kabisa ,sitarudia kauli zake kwani ziko wazi mitandaoni na zinapoonekana kuwakera watanzania na kumshutumu ,hujaribu kuzi-neutralize akijifanya hakumaanisha kile ambacho ni kusudi lake kabisa toka moyoni bila shaka yoyote ile.

Lissu hayuko peke yake ,kuna kundi la baadhi ya maadui wa mafanikio ya taifa hili,ambao ndio wanamtumia kufanikisha mission zao kwa kigezo cha demokrasia kama ambavyo wameyabomoa mataifa mengi barani afrika ili yawe tegemezi daima na milele.mfano Libya ,Irak,Zimbabwe

Naiomba tume isipitishe jina lake kugombea nafasi ya urais kwa sababu ndio kihunzi ambacho maadui zetu wanaomba mchana na usiku wakivuke, wakifanikiwa watanzania muamini tunaenda kugawanyika na kusambaratika,huyu kiumbe kapangwa hata kama akishindwa kihalali akatae matokeo, na nchi ikisha ingia taharuki ndipo maadui watapata mwanya wa kufanya maovu yao dhidi ya mafanikio yetu.ifahamike taharuki hiyo itarudisha nyuma taifa kulekea kujitegema .

Lazima watanzania mfahamu kitendo cha kupunguza utegemezi ikiwemo gharama za uchaguzi ambazo zimekuwa zikigharamikiwa na mataifa ya nje kwa muda mrefu kwenye chaguzi karibu zote kimewakwaza sana ,hiyo ndio pia njia wanayoitumia kuhalalisha watawala wanaowataka kwa maslahi yao binafsi.

Nionavyo ni kheri ya nusu shari kuliko shari kamili,
Nusu shari ni tume kukata jina lake,na shari kamili ni kuruhusu jina la Lissu kugombea urais.

Hivi sasa mitandaoni kuna vijana wameajiliwa kuitisha au waweza sema kuiogopesha tume ya uchaguzi kwa threads za kila aina, mimi nasema wapuuzwe hiyo ni mission maalumu kutuingiza mkenge wakidai jina lake lisikatwe kwa kigezo cha kwamba hapatatosha

mimi nasema patatosha jina lake likatwe tu,kuruhusu jina lake kugombea ndio hapatatosha kabisa kwa dhamira aliyonayo yeye binafsi na maadui zetu,na hili litakua ni kosa la kiufundi ambalo tutajilaumu wenyewe.

Mwisho,umoja wetu ndio ushindi wetu dhidi ya maadui wa maendeleo ya taifa letu,kipindi hiki tushikamane haswa .
Mumeshaanza kuweweseka, si mulisema ccm yenu inapendwa??? Sasa tulieni ili tuone sanduku LA kura linasemaje hiyo October.
 
Lissu Rais ajaye wa Tanzania
 
Kuishinda CCM uchaguzi huu ni sawa ngamia kupenya kwenye tundu la sindano tunachoogopa ni vurugu zenu nyie wahuni ,wavamia biashara za watu
Tunaweza kumalizana kwenye sanduku la kura, kama msipofanya figisu, Lakini kama mkilazimisha, ikiwepo kujaribu kukata jina, ndo tutawabadilishishia rangi ya chama chenu iwe ya dhahabu, alafu ‘jesus’ na wenzake wataenda gerezani!
 
Nasikia bank ya dunia wameiondoa Tanzania ktk uchumi wa kati hajatimiza baadhi ya vigezo
Kwani nchi yetu ilishawahi kufikia hatua hiyo?
Achana na maneno ya kisiasa yenye nia ya kuwapumbaza watanzania. Tulitajwa kama LOWER-MIDDLE INCOME COUNTRY sasa kama hii kwa tafsiri yake ni uchumi wakati bhasi waliosema uchumi wa kati ni wajinga wote.
🚶🚶🚶🚶🚶
 
Back
Top Bottom