Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Ikumbukwe jimbo hilo linahusisha wasomi wa vyuo vikuu wengi kikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ardhi, Maji na Chuo kikuu cha Sheria kilichopo Mawasiliano.
Kama ni hivyo mbona sasa Kitila Mkumbo ni mwenzao kwani alikuwa professa wa pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Si watamchagua msomi mwenzao badala ya huyo kilaza?
 
Atashinda kwa sababu CDM na ACT Wazalendo watagawana kura. Na kwa jinsi wanavyochukiana watatumia muda mrefu kushambuliana badala ya kumshambulia Kitila.

Amandla...
Waligawanya fito, ACT ya Ubungo walitokea Ubungo Chadema.
Advantage to Kitila Mkumbo.
 
hakuna kitu kinaitwa Igurwa (karagwe mjini)!!!!!
 
NEC HAIJAWAHI MDHULUMU MTU INATENDA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA, KANUNI NA TARATIBU
nilitamani nec irudishe wote , tanzania kwanza vyama badae , hakuna sababu ya kuhumiza kichwa wakati wahajili wakuu ni wananchi
 
Magu awe imara sio uoga wa kitoto....rudi kwenu
 
Tusiwasikie mnasema mmeibiwa kura.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country

Fallacy. CCM tunafeli kwa sababu ya kukosa weledi wa kutetea hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…