Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Kwani Ubungo ni CHADEMA pekee waliokuwa wamekata rufaa?
 
Jimbo la Ubungo ni la Upinzani tangu JJ Mnyika na baadaye Saed Kubenea, miaka yote ya uchaguzi CCM imekuwa ikifanya kila mbinu ili ilichukue lakini kila uchaguzi imekuwa ikizidiwa kimikakati na upinzani.

Ikumbukwe jimbo hilo linahusisha wasomi wa vyuo vikuu wengi kikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ardhi, Maji na Chuo kikuu cha Sheria kilichopo Mawasiliano.

Wapiga kura wake wengi ni wenye uelewa ni vigumu kuwarubuni kwa kanga na kofia.

Tutegemee mchuano mkali.
Ikumbukwe jimbo hilo linahusisha wasomi wa vyuo vikuu wengi kikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ardhi, Maji na Chuo kikuu cha Sheria kilichopo Mawasiliano.

Wapiga kura wake wengi ni wenye uelewa ni vigumu kuwarubuni.......

NIONGEZEE NI WAELEWA WENYE KUJUA RASILIMALI ZA TAIFA HILI, MAANA HALISI YA UZALENDO NA KILA HATUA KWA MUSTAKABALI WA TAIFA

OCTOBER 28, 2020 WANA UBUNGO WATAONGEA
 
Jamaa alikuwa ameshapanic anataka kujilipua. Afadhali hahahaha
Sasa ashindwe yeye tu
Wewe unaona dhuluma ni sawa? Washukuru Tanzania hatuna sheria ya kumiliki silaha kiholela, ingekuwa Marekani Mama Dominic mbona angekuwa alishaambiwa parapanda?
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
6 Sep 2017
MEYA JACOB AKIFAFANUA MAENDELEO YA WATU VS MAENDELEO YA VITU BILA KUSAHAU HAKI YAANI UTAWALA BORA HIYO NI MWAKA 2017
Boniface Jacob ni graduate wa UDSM moja kwa moja toka chuo akachaguliwa kuwa diwani kupitia chama makini CHADEMA kinachoona vipaji chuoni. Boniface Jacob ni mwanasiasa aliyekamilika kutetea haki za wanyonge mfano bomoabomoa ya Ubunge na kujifahamu kama kiongozi wa upande mbadala
 
Hakiitwi “chuo kikuu Cha sheria", inaitwa “shule ya sheria"
 
Huwa wanamjua bonny kichwa chake anakijua mwenyewe angekichafua alikua anasubiri barua tu
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Uliza uambiwe Bonny ni mwanafunzi wa kitila pale udsm sio kilaza as you may think,pia ni mtoto wa mjini
 
Back
Top Bottom