Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Wamebomoa nyumba, sasa kifatacho mwezi October....ni moja tu xxxx
 
Kitila dhambi ya usaliti inakuhusu...ni lazina uadhibiwe tu hatujasahau badi uliyotutendea.
 
Aliyekuwa Meya Boniface Jacob siyo tu ana kura zote za wakaazi wa Ubungo bila kujali vyama kwani anakubalika hata na mgombea wa CCM Mpya ngazi ya urais John Magufuli kutokana na kazi kubwa aliyofanya ya uongozi kama diwani kupitia CHADEMA na meya.

2017 RAIS MAGUFULI AMWAGIA SIFA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JAKOB

Mbona different stories, Magufuli anajisifia wala hamsifii Bony.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Hoja yako inachekesha, ni butu sana.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Lipumba ni Pro-pesa (sorry, I meant Professor), so hua anashindaga chaguzi zote eeee??
 
Sijaelewa, hizo rufaa ni wale walioondolewa kugombea kupitia vyama pinzani au walioachwa ccm ndo wamekata rufaa??

Ni kotekote. Kuna wa vyama vya upinzani waliwawekea wagombea wa CCM mapingamizi...

Vivyo hivyo kuna wale wa CCM waliwawekea mapingamizi wa vyama vya upinzani...

Mapingamizi ya pande zote yanaamuliwa...

Za upinzani ndugu izo

Ishu kubwa ni kuwa, hakuna na hakutatokea pingamizi hata moja la mwanaCCM dhidi ya mpinzani litakaloamuliwa kinyume....!
 
Back
Top Bottom