Night shadow
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 574
- 1,098
Wamrudishe na makonda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Mahera akimsikiliza jiwe tutamrudisha kwao musoma bila viatuIna maana wametafakari kwa kina ama?.
Tumaini pekee lililobaki ni bao la mkono.Mkumbo hana uwezo wa kuchuana na Bonny
Yeye alimpiga mtu tofali ACT nao wakampa Spana.Hii ina maanisha kuwa CCM waliwapinga wapinzani wote wakijua wote watahenguliwa ili wao wapite bila kupingwa
NEC waajabu!. taasisi nyeti zote huwa zinatoa nafasi ya muhusika kurekebisha makosa kwenye nyaraka na kuzirudisha upya bila makosa. Hawa NEC hivyo vijikanuni uchwara Wana ving'a g'ania ili iwe je?Walau, NEC rudisheni wagombea wote watu wapambane. Hatuhitaji wabunge na madiwani wa tume, oneni aibu ni fedheha kwenu.
Mkumbo hana uwezo wa kuchuana na Bonny
Boniface Jacob a.k.a Savimbi, is back in the game😂😂😂Jimbo la Ubungo ni la Upinzani tangu JJ Mnyika na baadaye Saed Kubenea, miaka yote ya uchaguzi CCM imekuwa ikifanya kila mbinu ili ilichukue lakini kila uchaguzi imekuwa ikizidiwa kimikakati na upinzani.
Ikumbukwe jimbo hilo linahusisha wasomi wa vyuo vikuu wengi kikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ardhi, Maji na Chuo kikuu cha Sheria kilichopo Mawasiliano.
Wapiga kura wake wengi ni wenye uelewa ni vigumu kuwarubuni kwa kanga na kofia.
Tutegemee mchuano mkali.
Mbona yale ya Lisu kwa Mkulu ya picha kuto kuonesha masikio ya Mkulu yalifanyiwa feverNEC waajabu!. taasisi nyeti zote huwa zinatoa nafasi ya muhusika kurekebisha makosa kwenye nyaraka na kuzirudisha upya bila makosa. Hawa NEC hivyo vijikanuni uchwara Wana ving'a g'ania ili iwe je?
Lugha ngumu Sana hiii mkuuBasi tena Kitila atafute buyu akune..
ukiachwa ccm tume haihusiki,ni wale walipitishwa na vyama vyao,lakini Nec majimboni ikawaengua,wakakata rufaa nec TaifaSijaelewa, hizo rufaa ni wale walioondolewa kugombea kupitia vyama pinzani au walioachwa ccm ndo wamekata rufaa??
Ktk majimbo ambayo ccm wanapata majimbo kwa kuteleeza ni chamwino, mtera na kwa NdugayeJimbo la Ubungo ni la Upinzani tangu JJ Mnyika na baadaye Saed Kubenea, miaka yote ya uchaguzi CCM imekuwa ikifanya kila mbinu ili ilichukue lakini kila uchaguzi imekuwa ikizidiwa kimikakati na upinzani.
Ikumbukwe jimbo hilo linahusisha wasomi wa vyuo vikuu wengi kikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ardhi, Maji na Chuo kikuu cha Sheria kilichopo Mawasiliano.
Wapiga kura wake wengi ni wenye uelewa ni vigumu kuwarubuni kwa kanga na kofia.
Tutegemee mchuano mkali.
Kitila asubirie jimbo lake la magogoni na mwenzake BetinaJacob anaenda kuchukua hilo jimbo na madiwani wake wote, Chadema all the way.