Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Aliyekuwa Meya Boniface Jacob siyo tu ana kura zote za wakaazi wa Ubungo bila kujali vyama kwani anakubalika hata na mgombea wa CCM Mpya ngazi ya urais John Magufuli kutokana na kazi kubwa aliyofanya ya uongozi kama diwani kupitia CHADEMA na meya.

2017 RAIS MAGUFULI AMWAGIA SIFA MEYA WA UBUNGO BONIFACE JAKOB

Lipo wazi swala hilo.maswala ya NDIO NZEE hatuyataki. Wabunge vilaza sijapata kuona. Yaani hata ile hadhi ya ubunge haipo kwa wanaccms. Com.

Wabunge vichwa maji hata kama ana PhD holder.

Manjwanjwa FC.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
 
Prof Kitila anawauliza akina mama wa Ubungo " akina mama mna maji"? Akina mama kimyz. Akarudia tena "Akina mama maji mnayo? " Kimya.

Ndipo akaambiwa huku ni pwani siyo bara. Ukiwauliza kama wana maji unawatukana.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]
 
Back
Top Bottom