Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Most of those who call themselves professors in Tanzania are just rubbish .in most cases you will find no difference between professor and form leaver in Tanzania
 
Mbona inaeleweka.
Hapo kuna rufaa za walioondolewa , Muheza Mgombea wa CHADEMA aliondolewa, tafsiri yake amerudishwa. Hiyo ya kupinga walioteuliwa ni kama Lissu alivyomkatia rufaa Mgombea wa CCM...rufaa ikatupwa.
Kuna majimbo hayo matatu hizo rufaa zimetupwa. Muheza imetokea mara mbili sababu imehusika katika rufaa za kupinga uteuzi na pia rufaa za kuenguliwa.
Naamini umeelewa.
Muheza imetokea kotekote, imekubaliwa, imekataliwa.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Unafikiri kwa kuandika kingereza chako cha kindergarten ndiyo itamsaidia huyo Profesa wa jalalani kushinda Ubunge? Hayo ni matumizi mabaya ya akili.
 
Halafu huyu Profesa wa jalalani anawadhalilisha wakina mama kuwauliza hadharani kama wana maji.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Kina mama mna maji hamna? Swali la prof
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Acha kujamba kwenye jukwaa wewe dada jane! Unajua hata maana ya profesa wewe au unabwabwaja tu? Kwa Tanzania uprofesa ni cheo uchwara tu kama vilivyo vyeo vingine tena vile vyeo mshenzi vya kuteuliwa.
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country
Akili ya kusoma sio akili ya siasa
 
Kitila ni mbunge na waziri mtarajiwa,!

Bavicha wanafiiri kushinda ni kwa mikwara
 
Kitila is a professor but Jacob Boniface is just form 4. You can't defeat a professor because he is very intelligent than Jacob. He knows many things about the country

Wananchi ndio wanaoamua kuchagua Mwakilishi wanaemtaka, education status is not a matter, wanachotaka wananchi ni yule mtu atakae kuwa nao karibu wakati wote huyo Prof, arudi darasani akashike chaki tu.
 
Jimbo la Ubungo lina historia ya kuwa chini ya upinzani tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama bingo, kuanzia Massey wa CUF, JJ Mnyika wa CHADEMA na baadaye Saed Kubenea CHADEMA. Miaka yote ya uchaguzi CCM imekuwa ikifanya kila mbinu ili ilichukue lakini kila uchaguzi imekuwa ikizidiwa kimikakati na upinzani.

Ikumbukwe jimbo hilo linahusisha wasomi wa vyuo vikuu wengi kikiwemo Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Ardhi, Maji na Chuo kikuu cha Sheria kilichopo Mawasiliano.

Wapiga kura wake wengi ni wenye uelewa ni vigumu kuwarubuni kwa kanga na kofia.

Tutegemee mchuano mkali.

=============

Matokeo ya Nyuma.

2015: Saed Kubenea CHADEMA kura 87,777, Dk. Didas MasaburiCCM kura 59,640.

2010: John Mnyika CHADEMA kura 66,742, Hawa Ngh’umbi CCM kura 50,544.

2005: Charles Keenja CCM.

2000: Hussein Mmasy CUF.
Ki Msingi Kitila Mkumbo aanze kutafuta kazi ingine ya kufanya.
 
Back
Top Bottom