Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi malalamiko dhidi ya CCM yanawafikia?

Ccm inaheshimu sheria, ila Chadema inaanangamizwa na lissu kwa kujiona yeye anajua sheria kumbe hamna kitu
Pumbav,Magufuli anavunja sheria za uchaguzi kila siku na malalamiko yako tume ya uchaguzi ila wameufyata!
 
Sasa mwenye haki ni nani ? Huyu anayepigania chapuo ushoga?[emoji3][emoji3]

Kwahiyo ushoga sikuhizi ni haki ? Chadema maskini
Kwenye nchi hii hakuna chama ambacho kimepigania ushoga kuliko CCM.Mheshimiwa sana Paul Makonda alipoanza kupambana na ushoga kupitia chama chake CCM serekali ya CCM iliibuka mara moja na kusema kuwa ushoga ni jambo jema sana na vita aliyoianzisha Mheshimiwa sana Paul Makonda ni vita yake binafsi na wala siyo vita ya Serekali.Tena bila aibu serekali ya CCM iliyasema haya kwa maandishi!

CCM hakiwezi kuwa chama cha Mungu kwa sababu kinaunga mkono ushoga na mbaya zaidi CCM inapinga tena kwa maandishi vita yeyote ile dhidi ya ushoga.Ni aibu na fedhea kwa chama cha CCM kuunga mkono ushoga na kupinga vita dhidi ya ushoga.
 
Kura milion 6 kwa CDM,kura mil 8 kwa CCM mwaka 2015!
Umeelewa nini hapo wewe punguani wa head?
 
Shida ya CDM wanapeleka kimya kimya. Ndiyo maana wanafanyiwa hizi figusi. Wao kila jambo ikibidi walifanye kwa coverage.
 
Humu jamii forum sisi mashabiki wa Ccm tunawindwa sana ukikosea kidogo tu ban hata nikileta ushahidi nitalambwa ban

Nimelambwa ban ya mwezi kwa sababu ya kusema ukweli kuhusu lissu
 
Ccm inaheshimu sheria, ila Chadema inaanangamizwa na lissu kwa kujiona yeye anajua sheria kumbe hamna kitu

Ccm inaheshimu sheria au ccm ndio inaipangia tume jinsi ya kutekeleza sheria?
 
Humu jamii forum sisi mashabiki wa Ccm tunawindwa sana ukikosea kidogo tu ban hata nikileta ushahidi nitalambwa ban

Nimelambwa ban ya mwezi kwa sababu ya kusema ukweli kuhusu lissu

Uwindwe na nani, usitake kujipandisha chat wakati huna lolote.
 
Humu jamii forum sisi mashabiki wa Ccm tunawindwa sana ukikosea kidogo tu ban hata nikileta ushahidi nitalambwa ban

Nimelambwa ban ya mwezi kwa sababu ya kusema ukweli kuhusu lissu
Hizo ni siasa zako za maji taka sasa!Yaani mimi nipigwe ban kwa kuweka barua ya serekali ya CCM inayounga mkono juhudi za ushoga Tanzania?!Tena barua yenyewe ni ya ukweli?Unaweza kupigwa ban tu kama utaweka ushahidi ambao ni porojo ila ushahidi ukiwa clear and obvious kama wa kwangu huwezi kupigwa ban.Kwa barua ile CCM ni muumini na kinara wa kuunga mkono juhudi za ushoga Tanzania na kinara wa kuzuia aina yeyote ile ya kupinga ushoga Tanzania kuliko chama chochote cha siasa
 
Hayo malalamiko yamepelekwa rasmi Tume? Ingekua tunakuja na ushahidi usiotia shaka juu ya kupeleka malalamiko kimaandishi Tume sawa lakini tatizo tunaishia tu kupiga kelele mitandaoni. Tume inafanya kazi zake kwa mujibu wa kanuni, Sheria, na taratibu zilizopo haikurupuki tu wale ni wanasheria nguli hawawezi fanya kazi na hear say
 
Anayepigania ushoga Tanzania anajulikana amekuja juzi kutoka ubeligiji hata ukimuuliza muokota makopo atakuambia
 
Mkuu una moyo sana kubishana na watu wa namna hii...Mimi siwezi bishana na MTU anayehamisha topic kama huyo... Ukimjibu hiki anaongea kile (tena vya uzushi siyo official)
 
Mkuu una moyo sana kubishana na watu wa namna hii...Mimi siwezi bishana na MTU anayehamisha topic kama huyo... Ukimjibu hiki anaongea kile (tena vya uzushi siyo official)
Mimi huwa nawala vichwa polepole.Nimemla kichwa kwenye hii halafu akanipeleka kwenye mambo ya ushoga halafu nikamla kichwa tena kwa kuweka ushahidi wa barua ya serekali ya CCM ikiwa inampinga na kumzuia makonda asipambane na ushoga.Yaani kwa kifupi ni kwamba hakuna chama ambacho Tanzania kinaunga mkono ushoga na kuzuia kwa hali na mali ushoga kupingwa Tanzania kuliko CCM.Sasa hivi jamaa ameingia mitini!
 
Vizuri sana mkuu..kweli unaweza ku-deal na watu wa aina ile!
 
Anayepigania ushoga Tanzania anajulikana amekuja juzi kutoka ubeligiji hata ukimuuliza muokota makopo atakuambia
Weka ushahidi mkuu ili tuende sawa.Achana na mambo ya porojo.JF siyo center ya porojo.Mimi nimeweka ushahidi wangu unaothibitisha beyond the reasonable doubt kuwa Tanzania hakuna chama kinachounga mkono juhudi za ushoga kuliko CCM.Nimefanya yote haya ili kujitenga na porojo za maji taka.Nawe weka ushahidi wako hapa unaothibitisha beyond the reasonable dout kuwa Chadema ni muumini wa ushoga.Kwani tungekuwa mahakamani si ungelazimika kuleta ushahidi mkuu?Kwani ingekuwa ni mahakamani ungeshinda kesi kwa kupiga porojo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…