Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi malalamiko dhidi ya CCM yanawafikia?

Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi malalamiko dhidi ya CCM yanawafikia?

Chadema tunamtegemea Robert [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi hizi hela mlipeleka wapi majizi wakubwa
IMG_20200930_230656.jpeg
IMG_20200930_230642.jpeg
 
Ccm inawanachama hai mlion 20 acha wafuasi na mashabiki

Chadema mna wanachama laki tano, huoni hata aibu kuisingizia Tume ya Uchaguzi ?

Mwalimu Nyerere alituachia Amani na amani inapatikana Ccm tu

Vyama vya upinzani vitaleta vita hatuwezi kuvichagua
Wakuiba kura kama hawa mashetani.safari hii habiwi mtu mashetani wakubwa
tapatalk_1600679267530.jpeg
 
Hayo malalamiko yamepelekwa rasmi Tume? Ingekua tunakuja na ushahidi usiotia shaka juu ya kupeleka malalamiko kimaandishi Tume sawa lakini tatizo tunaishia tu kupiga kelele mitandaoni. Tume inafanya kazi zake kwa mujibu wa kanuni, Sheria, na taratibu zilizopo haikurupuki tu wale ni wanasheria nguli hawawezi fanya kazi na hear say

Malalamiko rasmi kama ilivyo katika mada yamefikishwa tume.

Jiridhishe taarifa hii siyo hearsay kwa kufika CDM makao makuu au kuomba ushirikiano tume.

CDM ni chama makini mno jombi kutaka wewe kudhani wanajaribu kuitaka tume kufanyia kazi malalamiko yasiyokuwa rasmi.

Jiridhishe mkuu kabla ya kuanika utopolo hadharani:

Kwanini tume haikumuita mgombea wa CCM kwenye kamati?
 
Hii tume sio huru hata kidogo inaegemea upande mmoja
 
Back
Top Bottom