Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,567
- 9,037
Nyinyi tumeccm uchwara muwe mnaelewa mbona mnajitoa ufahamu, mmempelekea Lissu barua au mmeipeleka barua ofisi za Chadema? Hata Mambo madogo tu Kama haya hamuelewi mnafanyaje kazi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na magoti wanapiga
Kabisa mkuu, yaani nimewaza hivyo hivyo kwamba atawasumbua sana maana Lissu anapenda kufanya research ya kutosha kabla ya kuanza mpambano.Lisu hakurupuki. Anafanya homework ya kitosha kabla ya kunena. Na kwenye hicho kikao, Tume watajuta kwa nini walimwita maana itakuwa ni wakati kunyonyolewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja za lumumba bwana ni kichekesho kitupu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jiandae kisaikolojia utakapojua ukweli wa huyo unayemshabikia ni hatari sana kuliko nyoka swila.
Isipokuwa uwe na amani kuwa nchi iko kwenye ulinzi wa uhakika. Kama tuliweza kushinda korona, ambayo hadi sasa inatetemesha nchi tajiri, itakuwa ya kibaraka wa mabepari!
Ameandaliwa kuanzisha vurugu tarehe 23/10/2020 wakati yeye tayari amepanga kujiondoa kwenye kinyang'anyilo tarehe 21/10/2020 na kusepa. Ila hiyo mipango imefeli, atafute jinsi nyingine
Ni hatari kuliko huyu aliyewapoteza akina Ben Saanane, Azory Gwanda na mamia kuokotwa kwenye viroba? Acheni upuuzi, huu utawala wa wateka nyara hauna nafasi tena.Jiandae kisaikolojia utakapojua ukweli wa huyo unayemshabikia ni hatari sana kuliko nyoka swila.
Isipokuwa uwe na amani kuwa nchi iko kwenye ulinzi wa uhakika. Kama tuliweza kushinda korona, ambayo hadi sasa inatetemesha nchi tajiri, itakuwa ya kibaraka wa mabepari!
Ameandaliwa kuanzisha vurugu tarehe 23/10/2020 wakati yeye tayari amepanga kujiondoa kwenye kinyang'anyilo tarehe 21/10/2020 na kusepa. Ila hiyo mipango imefeli, atafute jinsi nyingine
Amechanganyikiwa huyo, haya mambo sio ya mchezo mchezo.Hoja za lumumba bwana ni kichekesho kitupu [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hongera mzungu wa nkasi.Hawa majaji hata kiingereza chenyewe ni shida