Tume ya Uchaguzi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

Tume ya Uchaguzi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

Hapo mwenye kosa ni huyo kijana

Inawezekana alienda kujiandikisha mara ya pili kwa kuripoti amepoteza kitambulisho
Siyo kosa la huyo kijana ni kosa la waandkishaji na tume yao, maana unapojiandikisha taarifa zako zinatakiwa zihifadhiwe ili kikipotea kitambulisho ukitaja majina yako taarifa zako zinakuja na kifyatuliwe kitambulisho chenye namba ile ile maana inayomata hapo ni namba.
 
Hili nalo linahitaji tume ya uchaguzi kusema kweli wewe soma vizuri hapo chini utagundua hapo kuna cha zamani na cha sasa! Hapo ni wazi hapo kimoja kimebadilishwa kinarudishwa na amepewa kipya ambacho amehamia kituo kipya cha kupigia kura!

Mwanzo alikuwa kituo kingine na sasa amebadilisha makazi hivyo amejiandikishia kwenye kituo kipya na automatically kituo cha mwanzo jina lake halitokuwepo bali litatokea kituo cha sasa alicho jiandikisha upya!

Hapo mbona hakuna kipya?
Sasa kwanini cha zamani amebaki nacho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngojeni niwaambie kitu

Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ni pamoja na kubadirisha kitambulisho Chako endapo utahama Makazi sababu hayo Makazi utakayo hamia Hautaweza kupiga Kura na kitambulisho cha mahali ulikotoka

Mimi jamaa yangu alikua anakaa Tabata
Amehamia Gongo la mboto
Alikua na kadi ya kupiga Kura (Nzima kabisa) inaonesha Tabata Alienda kuboresha amerudi inaonesha Gongo la Mboto

Hiyo Scenarios ya Yusuph inaweza kuta ina Ingia hapo ni maswala ya picha tuu
 
Tumia ubongo Mzee sio kamasi uta print vipi kingine wakati amebadili makazi kutoka 2015 now 2020 na kumbuka hili zoezi lilikuwa kuboresha taarifa za wapiga kura na kuandikisha wapya
Tumia akili kaka sio kamasi kufikiri hivyo vitambulisho huwezi kuvitofautisha kwa ma ila kwa data zilizopo.Sasa ndo tunapata wasiwasi kama huenda huyo jamaa amejiandikisha vituo zaidi ya kimoja na ndo hivyo hapo kwenye kadi.Au ndo maana fingerprint za Kupigia kura zilionekana hazifai kumtambua mtu hadi uanze process zote?
Lakin kaka kama kuna kipya hapo hivi huyo jamaa hata sura hajabadilika?Yani sura ipo vilevile tangia 2015?hapo ndo pa kujiuliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngojeni niwaambie kitu

Uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura ni pamoja na kubadirisha kitambulisho Chako endapo utahama Makazi sababu hayo Makazi utakayo hamia Hautaweza kupiga Kura na kitambulisho cha mahali ulikotoka

Mimi jamaa yangu alikua anakaa Tabata
Amehamia Gongo la mboto
Alikua na kadi ya kupiga Kura (Nzima kabisa) inaonesha Tabata Alienda kuboresha amerudi inaonesha Gongo la Mboto

Hiyo Scenarios ya Yusuph inaweza kuta ina Ingia hapo ni maswala ya picha tuu
Kijana wa 1999 alipiga kura 2015?ukijibu hilo swali basi tutaona mantiki ya huyo jamaa kama alienda kuboresha au kajiandikisha.Yani waliozaliwa 1997 wengi wao hawakuwa na kadi za kura 2015 sasa iweje huyo wa 1999 aliyekuwa na miaka 14/15 ndo awe na kadi ya kura?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili nalo linahitaji tume ya uchaguzi kusema kweli wewe soma vizuri hapo chini utagundua hapo kuna cha zamani na cha sasa! Hapo ni wazi hapo kimoja kimebadilishwa kinarudishwa na amepewa kipya ambacho amehamia kituo kipya cha kupigia kura!

Mwanzo alikuwa kituo kingine na sasa amebadilisha makazi hivyo amejiandikishia kwenye kituo kipya na automatically kituo cha mwanzo jina lake halitokuwepo bali litatokea kituo cha sasa alicho jiandikisha upya!

Hapo mbona hakuna kipya?

Ila namba ya mpiga kura kamwe haibadiliki


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fisiemu endelezeni uchaguzi wenu na2020 dunia itamgeuza jiwe Nicolas Maduro wa pili
 
Hapo suala ni dogo kutokusalimisha kitambulisho chake alipoenda kubadili kituo cha kupigia kura!

Mm nimebadili kituo nikapewa kadi mpya na ile ya zamani wamebaki nao wao; Pia kujiandikisha kwangu sikuweka alama za vidole tofauti na wale wasionacho kbsa au waliopoteza Ila kama ulipoteza ya zamani na bado ukabadilisha kituo bado bado watakupa kingine tu maana ww zitakazoenda ni taarifa mpya!

Labda tuilaumu tume kwa kutokutoa somo, Kwa hapa ni jambo ambalo halizuiliki kama hatujapewa elimu ya uandikishaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom