My Sons Legacy
JF-Expert Member
- Feb 4, 2019
- 3,604
- 11,898
Doooh Aisee Mazingira yalikua ya utata SanaMimi nilipigwa Picha na baada muda mpigapicha ananiambia kitambulisho changu kimetoka vibaya mara akatoa kingine nikamuuliza mbona vyote vinafanana hakuwa na majibu ya kunitosheleza.
Nikamuuliza hiki kingine unapeleka wapi akanijibu hivi vyote vilivyoharibika tunavipeleka tume nikamwomba register aiandeke akaniambia hawana register.Vitambulisho nilivyoviona pale ni vingi sana.
Kuna Uzi niliandika Jumamosi ktk hoja mchanganyiko kuhusu hili tukio nililokutana nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Weka link ya thread hapa