Tume ya Uchaguzi tunaomba ufafanuzi kwenye hili

Aisee bahat mbaya sikuangalia vyema Hiyo kadi

Kijana Amezaliwa 1999 hivyo ana miaka 21 Leo (2020)
Mwaka 2015 alikua na miaka 16 Hakuweza kupiga
Hivyo hii ni Mara yake ya kwanza kuwa na kadi ya kupiga kura

Kweli kabisa mko sahihi kuhoji amewezaje kuwa na kadi Mbili za kupiga kura ??


 
Kwaiyo akaamua kupiga picha vitambulisho vyake ?
 
Hapo mwenye kosa ni huyo kijana

Inawezekana alienda kujiandikisha mara ya pili kwa kuripoti amepoteza kitambulisho
Tukiambiwa tunaishi in a shit hole country tunajifanya tunakuwa wakali,why ajiandikishe mara mbili maana kufanya hivi systems ine pick kuwa ameshajiandikisha maana finger prints zake zipo captured already;kama amepoteza angepata kitambulisho kile kile cha namba yake ya kwanza.mtasubiri sana
 
Hata Wewe ukiripot kitambulisho kimepotea hata km unacho utaruhusiwa kujiandikisha
Ila huwezi kupiga kura mara mbili
Wacha uongo wewe!
Hivi unafkiri watu wote ni wajinga kama unavyodhani wewe? Kama huo upuuzi unaouzungumzia wewe kada wa lumumba ni kweli, kwa nini alibadilisha kituo wakati wa kujiandikisha kwa mara ya pili?
 
Huyu mtu mmoja kwanini ana vitambulisho viw
Mmeshaanza kufyatua.2015 mlitoa mpaka vya marehemu
Inawezekana cha kwanza kilipotea akaenda kuchukua kingine akakipata kilichopotea
Hapo kinachotumia ni hicho latest
 
Namba ya kitambulisho chako haibadiliki kama ulikuwa umeshajiandikisha
 
Alichosema mjomba juu hapo ndio ukweli wenyewe mkuu acha kushambulia na kutema sumu, tusubiri waungwana watwambie.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nina mashaka na hata wale tuliokwenda kubadili taarifa zetu, huenda vitambulisho vyetu vikarudi kwenye maeneo tuliyojiandikisha awali na kupatiwa wengine​
[emoji2817][emoji2817][emoji2817]

ᴾᵘⁿⁱˢʰ ᵒⁿˡʸ ʰᵉ ʷʰᵒ ᶜᵒᵐᵐⁱᵗᵗᵉᵈ ᵗʰᵉ ᶜʳⁱᵐᵉ [emoji377]
 
Mkuu ngoja tulijadili hili bila kuwepo kwa mihemko ila Facts,ilitakiwa kila mtanzania including mimi na wewe tuwe na birth certificates ambazo zimo ndani ya central data systems ya nchi,tunapofikisha umri wa 18yrs tulitakiwa tuombe ID ,na upatikanaji wake unakuwa rahisi kwa sababu informations zote zipo ndani ya birth certificate,na hii ID ndio life book yako utaishi nayo na kufa nayo,matumizi ya ID ni pamoja na kukufungulia mlango wa kupata huduma zote za kijamii kama afya,elimu ,uwezo wa kupiga kura (kama huna huwezi kupiga kura maana haumo ndani ya daftari ya wapiga kura)kwa hiyo huyu kuwa na ID mbili zenye maelezo tofauti ni matokeo ya kuishi in a pithole country,
 
Sioni tatizo kabisa hapo kwa hoja zifuatazo
Moja akina yusuph ni wengi sana,mfano nikikutajia Nina language na ubini wangu harafu uingie facebook usechi hili jina utapata almost watu 100 ambao tuna jina moja na ubini wa kufanana,


Mbili huenda muhusika alijiandikisha kwa mara ya kwanza kituo A lakini wakati wa maboresho amejikuta yuko kituo hivo akapewa kitambulisho kingine na hivyo kumfanya kuwa na vitambulisho viwili,chadema akili zenu ziko wapi?

Mfano nzuri ni Mimi ,uchaguzi wa 2015 nilijiandikisha nikiwa mkoani Moro,wakati wa maboresho mwaka huu nimejiandikishia shinyanga hivyo kunifanya niwe na vitambulisho viwili

Hizi hili nalo linahitaji tochi wenzangu chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wakuu hamuelewi hoja??

Kwanzaa Huyo Dogo kazaliwa 1999 Yani ana miaka 22
Ndio Mara yake ya kwanza kupiga kura

HAJAIBORESHA KADI YAKE
HAJAIBADIRISHA KADI YAKE

Hoja ya kusema kahama kituo hiyo haipo

Pili Inawezekana Vipi watu wawili wafanane majina Matatu yote na Siku ya kuzaliwa moja na Signature zao zifanane ?

 
Kati ya hivyo viwili... Kipi ni kipya na kipi ni cha zamani!?
 
Hapo huyu dogo ndio alikosea au kuidanganya serikali kwa kuenda kujiandikisha mara mbili.

Tatizo jingine alana za vidole zinashindwa kutambua kwamba huyu mtu alishajiandikisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndio unapotosha watu!! Ndio maana likaitwa zoezi la kujiandikisha na kuboresha taarifa!!! Kama unakitambulisho cha zamani ila kwa sasa umehama mkoa, wilaya, kata, mtaa, kitongoji, unaenda nacho hicho na hizo taarifa zinafanyiwa mabadiriko, ya mahala ulipo sasa. Na kile cha zamani kinabakia hapo, na kinakuwa hakina kazi tena. Kama utaongopa kuwa hukuwahi kujiandikisha hapo lazima tu, system itagundua kuwa ulishawahi!! Ndio maana ukifika wanakuuliza kwanza maswali, je ulishawahi kuwa nacho, au ndio mala ya kwanza? Kama ukisema ulishawahi kuwa nacho, ila kimepotea/kimeharibika kabla hujajaza form lazim utaje jina kwanza aangalie kwenye systems kama upo, kama upo, ndio ujaze form! Kama ulishawahi kuwa nacho, ndio utampa details mpya unazotaka kuziboresha, hata ukitaka kubadirisha picha, watakupiga nyingine.
 
Yusuph anabadilishaje wakati ndio mara ya kwanza kujiandikisha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…