Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acheni uwoga
swali ni je kura hizo zitahesabiwa siku hiyo hiyo?
Wenye woga ni nyinyi mnaotafuta msaada wa jeshi, polisi na watu wa usalama wa taifa TISS
Kuna waoga zaidi ya Chadema [emoji3][emoji3] nyie ni mabingwa wa porojo
Wenye woga ni nyinyi mnaotafuta msaada wa jeshi, polisi na watu wa usalama wa taifa TISS
Hivyo vyombo vinafanya kazi kwa mujibu wa sheria ukivunja sheria ni ujinga wako
Mmeona dalili ya kushindwa mnajificha kuisingizia vyombo vya usalama
Tutawafundisha adabu
Sheria ndivyo inavyosema polisi ashirikiane na Janjaweed kupora mali za watu na kupiga watu ??
Kama Wewe ni kibaka au jambazi Unataka polisi ikuache uendelee kupora watu
Sheria ndivyo inavyosema watu waliokaa majumbani mwao kuwa ni vibaka ?? kwa hivyo vibaka waporwe mali zao ??
Kama Wewe ni jambazi acha wala vyombo vya ulinzi na usalama havitahangaika na wewe
Vyombo vya ulinzi na usalama vilitakiwa vianze kuwashughulikia hawa magaidi wezi wa kura na wachakachuaji wanaoibeba CCM
View attachment 1596286
Huo uwongo wenu wa chadema mwisho wenu ni October
Mtapika habari ila lazima tuwapige chini
Kama mnavyopika daftari la wapiga kura ??
Huo uwongo unaenezwa na Chadema wanajua watapigwa kipigo cha mbwa koko
Mumenaswa pabaya mwaka huu, Kama vile Mwenyekiti wa Tume ni Chadema