Mzee wa Usafi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 644
- 292
Mi nimejiuliza saana..kwanini chama kinapata kura 0. Hili nimeliona sana kwenye matokeo ya Pemba. hiki ni kitu kisichowezekana kwa akili ya kawaida.yaani chama kichukiwe kiasi kikose hata kura ya wakala ?
Mbona kuna mikoa mingi uchaguzi umehairishwa, kwanini USIRUDIWE ZANZIBAR ??? ..Hii ni internal matter ya wana Zanzibar sio swala la kila mtu. Leo hii Ubungo wakitaka kurudia uchaguzi utafutwa na waanze upya, HAUWEZI kusema TANZANIA nzima WARUDIE UCHAGUZI.
Kwani Bara mliona picha ya MAALIM SEIF kwenye karatasi YOYOTE ?? ?? ?? Hili tatizo ni LOCAL jimboni Zanzibar sio TANZANIA nzima.... Wao wanapiga kote, sisi tunapiga ya kwetu tu kama Jimbo lolote, kura zinapigwa hierarchical ..kijimbo na kitaifa, ARUSHA WAMEPIGA KURA ZA RAISI BARA LAKINI UBUNGE BAADAE. Kwahiyo Zanzibar za PAMOJA URAISI BARA ni sawa ila majimbo yaani RAISI wao ndio zinarudiwa.
Bara Nao ufutwe
Zanzibar+Bara ndio unapata Rais wa muungano
lubuva muda huu anasema hayo ya huko zanzibar eti hayawezi athiri matokeo ya urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania??
Sasa kura za uraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa zile kura za zanzibar zilizofutwa na zec itakuwaje bado ni kura halali??? Kura zitakuwaje halali wakati zec wamesema kulikuwa na dosari zinzoonyesha hata fomu za matokeo kufutwa futwa??
Kama KURA ZA ZENJI si halali utampataje rais WA JMT bila kura za Zanzibar????
Nchi inakwenda mahali pabaya
Next time usikurupuke kwa vitu usivyojua kiongozi, niliuliza ili kupata maelezo ya kisheria, kumbe hata sheria hujui.Simple logic
huhitaji phd kujua kama 1+ 1=2
Lubuva keshajibu.
Mwanasheria wa CCM sio? Unajarajia nini hapo?
Haujavunjika kwa sababu zile kura ambazo ZEC wamezifuta sisi huku bara tunazitambua kama kawaida.Lubuva kuendelea kutangaza matokeo inadhihirisha kuwa muungano wa Zanzibar na Tannganyika umevunjika rasmi.
Haujavunjika kwa sababu zile kura ambazo ZEC wamezifuta sisi huku bara tunazitambua kama kawaida.
Mwenyekiti wa ZEC amesema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi, hivyo kwa mamlaka
aliyokuwa nayo amefuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar. Uchaguzi kurudiwa tena.
Taarifa zaidi zinafuata
WACHA KUJITOA UFAHAMU...UMEZISOMA SABABU HIZO TISA?//...Ni kwa nini ziaffect uchaguzi wa Urais ZNZ na wawakilishi wake tu na sio Uchaguzi wa Rais wa Muungano upande wa Zanzibar??...Tafadhari elewa nachosimamia...
Sijasema urudiwe nchi nchi nzima...Uhalali wa matokeo ya Urais Muungano upande wa zanzibar unatoka wapi?
Haujavunjika kwa sababu zile kura ambazo ZEC wamezifuta sisi huku bara tunazitambua kama kawaida.
isingekuwa cyber crime ningekutukana had ufe
NEC kwa zanzibar inawakilishwa na ZEC! Hilo hata hio mahakama ya CCM wanajua
Mwenyekiti wa ZEC amesema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi, hivyo kwa mamlaka
aliyokuwa nayo amefuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar. Uchaguzi kurudiwa tena.
Taarifa zaidi zinafuata