Mzee wa Usafi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2008
- 644
- 292
Mi nimejiuliza saana..kwanini chama kinapata kura 0. Hili nimeliona sana kwenye matokeo ya Pemba. hiki ni kitu kisichowezekana kwa akili ya kawaida.yaani chama kichukiwe kiasi kikose hata kura ya wakala ?
Wazenji wan dhamini sana kura sio kama hawa wazee wa dhuhu tabu....Kama waliweza piga kura za maruhani sembuse hiyo? Hivi Tume inataka kutuaminisha kuwa serikali ya Mapinduzi haifanyi kazi Pemba? wafanyakazi wa tume wote ni wateule wa sirikali halafu leo una anza lalama. Tumeona jinsi mlivyo fanya kikao chenu cha kujitadhimini baada ya kushindwa....clip ipo kwenye VITUKO VYA MITAA blog