Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Mi nimejiuliza saana..kwanini chama kinapata kura 0. Hili nimeliona sana kwenye matokeo ya Pemba. hiki ni kitu kisichowezekana kwa akili ya kawaida.yaani chama kichukiwe kiasi kikose hata kura ya wakala ?

Wazenji wan dhamini sana kura sio kama hawa wazee wa dhuhu tabu....Kama waliweza piga kura za maruhani sembuse hiyo? Hivi Tume inataka kutuaminisha kuwa serikali ya Mapinduzi haifanyi kazi Pemba? wafanyakazi wa tume wote ni wateule wa sirikali halafu leo una anza lalama. Tumeona jinsi mlivyo fanya kikao chenu cha kujitadhimini baada ya kushindwa....clip ipo kwenye VITUKO VYA MITAA blog
 
Mbona kuna mikoa mingi uchaguzi umehairishwa, kwanini USIRUDIWE ZANZIBAR ??? ..Hii ni internal matter ya wana Zanzibar sio swala la kila mtu. Leo hii Ubungo wakitaka kurudia uchaguzi utafutwa na waanze upya, HAUWEZI kusema TANZANIA nzima WARUDIE UCHAGUZI.

Kwani Bara mliona picha ya MAALIM SEIF kwenye karatasi YOYOTE ?? ?? ?? Hili tatizo ni LOCAL jimboni Zanzibar sio TANZANIA nzima.... Wao wanapiga kote, sisi tunapiga ya kwetu tu kama Jimbo lolote, kura zinapigwa hierarchical ..kijimbo na kitaifa, ARUSHA WAMEPIGA KURA ZA RAISI BARA LAKINI UBUNGE BAADAE. Kwahiyo Zanzibar za PAMOJA URAISI BARA ni sawa ila majimbo yaani RAISI wao ndio zinarudiwa.

WACHA KUJITOA UFAHAMU...UMEZISOMA SABABU HIZO TISA?//...Ni kwa nini ziaffect uchaguzi wa Urais ZNZ na wawakilishi wake tu na sio Uchaguzi wa Rais wa Muungano upande wa Zanzibar??...Tafadhari elewa nachosimamia...
Sijasema urudiwe nchi nchi nzima...Uhalali wa matokeo ya Urais Muungano upande wa zanzibar unatoka wapi?
 
lubuva muda huu anasema hayo ya huko zanzibar eti hayawezi athiri matokeo ya urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania??

Sasa kura za uraisi wa jamhuri ya muungano wa tanzania kwa zile kura za zanzibar zilizofutwa na zec itakuwaje bado ni kura halali??? Kura zitakuwaje halali wakati zec wamesema kulikuwa na dosari zinzoonyesha hata fomu za matokeo kufutwa futwa??

Kama KURA ZA ZENJI si halali utampataje rais WA JMT bila kura za Zanzibar????


Nchi inakwenda mahali pabaya

Wanasema ni halali wso hawajapokea dosari zozote....very funnyy...kwenye zoezi moja zec wana dosari na nec hawajaonaa
 
Simple logic

huhitaji phd kujua kama 1+ 1=2


Next time usikurupuke kwa vitu usivyojua kiongozi, niliuliza ili kupata maelezo ya kisheria, kumbe hata sheria hujui.

Msikilize tena Lubuva utajiona zo.ba
 
Lubuva kuendelea kutangaza matokeo inadhihirisha kuwa muungano wa Zanzibar na Tannganyika umevunjika rasmi.
 
It only happen here,when your opponent win then the election is unfair,real??to live democracy we have a long way to go!!
 
Haujavunjika kwa sababu zile kura ambazo ZEC wamezifuta sisi huku bara tunazitambua kama kawaida.

Zec imetangaza kuwa kura zote zilizopigwa zenji ni batili
Lubuva kuendelea kutangaza matokeo inadhihirisha kuwa muungano wa Zanzibar na Tannganyika umevunjika rasmi.
 
Mwenyekiti wa ZEC amesema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi, hivyo kwa mamlaka
aliyokuwa nayo amefuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar. Uchaguzi kurudiwa tena.
Taarifa zaidi zinafuata

..na kasoro anazodai zimemlazimisha kufuta uchaguzi huko ZNZ, ndiyo hizo hizo zinatolewa na UKAWA huku wakidai uchaguzi umeharibiwa.

..je, huo mchezo mchafu anaodai umefanyika huko Pemba, uliishia kwenye kura za Uraisi wa ZNZ tu, au hata za uwakilishi, ubunge wa muungano, pamoja na Raisi wa Tanganyika/muungano nazo zimechafuliwa?

cc Barubaru, Gs-300, Kibunango, GHIBUU
 
Last edited by a moderator:
WACHA KUJITOA UFAHAMU...UMEZISOMA SABABU HIZO TISA?//...Ni kwa nini ziaffect uchaguzi wa Urais ZNZ na wawakilishi wake tu na sio Uchaguzi wa Rais wa Muungano upande wa Zanzibar??...Tafadhari elewa nachosimamia...
Sijasema urudiwe nchi nchi nzima...Uhalali wa matokeo ya Urais Muungano upande wa zanzibar unatoka wapi?

hilo mbona ni jambo la kawaida kutokea, mifano hai miwili:

1. 2010 - Kikwete alishinda uraisi Arusha Mjini / Chadema wakachukua Ubunge. baada ya mwaka matokeo ya Ubunge yalifutwa na Lema akavuliwa ubunge, lakini ya Uraisi yalisimama. Watu wanaweza piga uchaguzi mmoja, ballot box moja ikawa sawa na nyingine ikakataliwa kwasababu za sheria ya tume.

FAST FORWARD, Oktoba 2015: Kilichotokea Zanzibar ni kwamba, Uchaguzi wa Raisi wa JMT uko sawa maana unasimamiwa na NEC, Ule uchaguzi wa ndani, wa Raisi wa ZNZ na Wawakilishi, umefutwa kutokana ana KATIBA yao ya ZNZ ya mwaka 1984.

NOTE: tatizo watu wengi wa kawaida hawajui sheria, na mambo hapo ndio yanapokorogwa. maana kuvisoma vifungu na kuvitafsiri inatakiwa mtu ambaye anauelewa mzuri.
 
Haujavunjika kwa sababu zile kura ambazo ZEC wamezifuta sisi huku bara tunazitambua kama kawaida.

Wacha uwongo ZEC hawajafuta kura za ubunge na uraisi wa muungano.Hizo haziwahusu na hawana nguvu nazo kisheria na hawazisimamii.Walizofuta ni za raisi wa Zanzibar na baraza la wawakilishi!!
 
Kwa hali iliyojitokeza visiwani, ninahisi matokeo ya raisi Tanzania yatakamilika leoleo kama si kesho asubuhi sana.
 
NEC kwa zanzibar inawakilishwa na ZEC! Hilo hata hio mahakama ya CCM wanajua

No, No, No.

NEC inaongozwa na Mwenyekiti tofauti na Katiba ya mwaka 1977, na wanasimamia Bara na Zanzibar (Raisi wa JMT) .
ZEC inaongozwa na Mwenyekiti tofauti na Katiba ya mwaka 1984, na wanasimamia uchaguzi wa kwao tu.

TOFAUTI KUBWA KABISA.
 
Mwenyekiti wa ZEC amesema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi, hivyo kwa mamlaka
aliyokuwa nayo amefuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar. Uchaguzi kurudiwa tena.
Taarifa zaidi zinafuata

Sidhani kama ulikuwa na kasoro kama wa Bara
 
Back
Top Bottom