Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
Nadhan uchaguzi wa marudio utasimamiwa na tume ya uchaguzi ya Jeshi la wananchiTume imeshajiuzulu kwa kushindwa kusimamia uchaguzi ili uwe huru na wa haki? Huo uchaguzi mwingine utasimamiwa na tume ile ile?
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.
Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.
Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya kurudiwa uchaguzi.
Chanzo: ZBC TV
Wanajiandaa kupeleka nyomi a.k.a mtiti wa askari na wapiga kura. Kama hali ndio hii haina ahaja ya kufanya uchaguzi kuwasimamisha watu juaniMiaka yoote wapiga kura huwa wanatoka bara kwa sababu huwa tunapishana tarehe na siku ya kupiga kura! mwaka huu wakagonganisha sahani na vikombe! CCM wamejua wameshindwa!!
Kisa CCM kashindwa,