Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Uhuni huu wa ZEC haukubaliki kamwe!!!!
 
Kwanini na matokeo ya bara yasifutwe? au kwa sababu UKAWA wakuwa wapole hawakutangaza matokeo yao????
 
Uchaguzi hauwezi kuwa huru na haki kama hakuna tume huru ya uchaguzi.
 
​Maalim usikubari uchaguzi kurudiwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Mwenyekiti wa uchaguzi zanzibar amefuta uchaguzi wote kisiwani huko... tutaendelea kujuzana
 
Uchaguzi ukirudiwa CCM wanajua matokeo ya bara yata wa influence wapiga kura Zanzibar. Wapinzani kuweni makini?
 
Naomba kuuliza je kura za urais za Lowassa na Magufuli nazo zimefutwa?
 

Acha uwongo wako, matokeo yaliyotangazwa na Tume ni Mbeya Tunduma
Ccm 19446 37.28%
Ukawa 32219 61.76%

Na bumbuli sio kama unavyosema. pitia humu JF kuna uzi wa updates za matokeo linganisha hayo unayoyasema na yaliyomo
 
​DW-Nao wametangaza uchaguzi umefutwa!!!!.Kumbe maalim alisema kweli!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Maalim kawachezesha sarakasi. Wana hela za kuchezea ili waendelee kubaki madarakani
 
Kama anayetafutwa ni rais wa JMT basi matokeo ya bara peke yake yasitumike kumpata rais wa JMT, tume huru iundwe uchaguzi urudiwe kote.
 
Hizi reasons ni flimsy.Ukweli ni kwamba CCM wameshindwa uchaguzi huu.Maamuzi haya ni hatari sana.
 
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.

Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.

Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya kurudiwa uchaguzi.

Chanzo: ZBC TV

ufutwe wa tanzania nzima, sio kufuta Zanzibar peke yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…