Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

maalim seiph angejua angekaa kimya tu!sasa mdomo wake umemponza!shein alishakubali kushindwa
 
Vipi kura za rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania zilizopigwa huko zanzibar nazo zinafutwa?
 
Hi maana yake uchaguzi wa rais wa jamuhuri nao ufutwe,maana kuna kura za kule
 
Mbona January amejitangazia ushindi na ametangaza matokeo. Again sheria ni msumeno lazima ukate kote.

hii nchi CCM wanaifanya wapendavyo wanaielekeza watakako na kuivuna wawezavyo..
amani bila haki si dhani kama ina maana !
 
Nonsense...uchaguzi wa zenj na wa bara upi una kasoro nyingi?, mbona hawafuta matokeo ya bara?Wameshindwa ccm na watashindwa zaidi na zaidi, maji ya shingo, sefu kawakalia kooni!
 


Muhimu ni wapinzani kuonesha ushahidi huo kwa vyombo vya habari na wachunguzi wakimataifa na balozi zote
 
Labda wameona ni ngumu serikali ya JMT iwe ccm halafu Znb iwe upinzani....nawaza tu
 
mungu wangu, nasubiri kauli ya raisi maalim seif
 

Kama uchaguzi haukuwa wa huru na haki, bado watataka wasimamie ukirudiwa tena? Iwapo taarifa hii ni ya kweli Tume pia ifutiliwe mbali na Tume mpya ibuniwe yenye uwakilishi(representatives) wa vyama vyote pamoja na wadau wengine.
 
Hizo ndizo sababu zilizotolewa na ZEC????
 
Bila shaka hapa hawakulifikiria walipokuwa wanafuta hahahaha kweli CCM kila mbinu wanayofanya inawala hata wenyewe.
 
Mwenyekiti wa ZEC amesema uchaguzi ulikuwa na kasoro nyingi, hivyo kwa mamlaka
aliyokuwa nayo amefuta matokeo yote ya uchaguzi Zanzibar. Uchaguzi kurudiwa tena.
Taarifa zaidi zinafuata
Mkuu kuna forum fulani ya wazanzibari niliwahi kuwa member ila nimeisahau, unaweza kunikumbusha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…