Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Uhuni huu wa ZEC haukubaliki kamwe!!!!

Unguja CUF wameshinda majimbo 10 ZEC wameyapunguza na kubaki 8 bado kura za wizi hazijatosha ni upuuzi mtupu kurudia uchaguzi wameshindwa watoke
 
umefutwa, ni baada ya Maalim Seifu kujitangazia ushindi, bila kufuata utaratibu

Kuna mtu alisema Magufuli ataapishwa tarehe 29 wakati hata kura hazijaanza kuhesabiwa. Hiyo ilikuwa ni nini?
 
Kuna jimbo la kusini limetangazwa kuwa waliojiandikisha wote wamepiga kura !! Hakuna mgonjwa, aliyesafiriri au aliyefariki ?
 
Hii balaa sasa. CUF Zanzibar ya Maalim Seif na CCM Bara ya Pombe Magufuli itakuwaje? Hi ndio changamoto inaikabili Serikali ya JMK namna ya uendeshaji wa Serikali ya Muungano.
 
Chineke!! Hivi kuna haja ya kufanya uchaguzi kweli Tanzania? Mbona CCM hawakubali kushindwa?
Sasa naamini ndio maana viserikali vya Afrika huwa vinaondolewa kwa nguvu...
 
Katika hali ya kushtua Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar(ZEC) imetangaza kuyafuta Matokeo ya urais wa Zanzibar.

Yadaiwa Uchaguzi uligubikwa na kasoro nyingi.

Imeahidi kutangaza tarehe rasmi ya kurudiwa uchaguzi.

Chanzo: ZBC TV

Ufutwe nchi nzima kama wanataka kutenda haki sio kusema udanganyifu ulikuwa Zanzibar na bara kulikuwa akuna udanganyifu.

Sisiem waliposhindwa wanasena kuna udanganyifu waliposhinda wao akuna udanganyifu.
 
Kwa hiyo matokeo ya Bara yatasubiri au inakuwaje ?Maana kuna kura za Bara kule Zanzibar

sijui hata itakuwaje!mie naona CCM wangewaachia tu huko ZBAR!Sioni faida ya kuendelea kung'ang'ania watu laki sita!!
 
Kma masihara, kama mzaha na utani utani.......CCM inatupeleka shimoni, natamani mwanakijiji aje hapa atoe comments zake.

Mwanakijiji anafaa sana kwa wakati huu kutoa maoni yake katika hili la kufutwa matokeo ya uchaguzi wa Zanzibar..
 
Kuna jimbo la kusini limetangazwa kuwa waliojiandikisha wote wamepiga kura !! Hakuna mgonjwa, aliyesafiriri au aliyefariki ?

Hata matokeo ya urais wa bara hayana maana basi
 
Back
Top Bottom