Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Patamu hapo basi itabidi na huku bara uchaguzi ufutwe maana january makamba alitangaza kuwa ccm ina majimbo 176 wakati tume ilikuwa ndo kwanza imetangaza majimbo machache
 
Kwa hiyo kura zote za urais wa JMT kutoka Zanzibar zimefutwa?
 
Mmoja kesha pigwa kumbo hapo, sasa kubalance mambo inabidi kutafta sababu ambazo hazipo hazina mashiko. Anyway, tuwape wazanzibar muda waamue kwa mara nyingine tena
 
Unataka UKAWA IPOTEZE NGOME YAKE YA PEMBA??

KWI KWI KWI
 
Nakumbuka kuna mtu humu alitoa maono ya uchaguzi kurudiwa
 
[QhUOTE=mangosutu;14487076]ufutwe wa tanzania nzima, sio kufuta Zanzibar peke yake.[/QUOTE]
Kaka Tanganyika ndio Tanzania so hata Zanzibar waahirishe uchaguzi madamhuku tume inatangaza ya January basi Hanna kuridia.
 
Hapo patamuuuuuuu! Wafue na huku bara
Unafikiri kwa siku hizi mbili akili za watanzania wa vijijini waliopigia kura CCM zimeshabadilika. Kwanza ndio wanaweza kuwashangaza zaidi maana hawatabiriki kama wale wa Mwanza.
 
kupata vichekesho kama hivi tuma neno ZEC kwenda namba 666.
 
Ufutwe nchi nzima kama wanataka kutenda haki sio kusema udanganyifu ulikuwa Zanzibar na bara kulikuwa akuna udanganyifu.

Sisiem waliposhindwa wanasena kuna udanganyifu waliposhinda wao akuna udanganyifu.

No no sio wanaposhindwa, ni kwamba magumashi yakijibu basi uchaguzi ni huru na haki, yakibuma ni uchaguzi wenye kasoro, wezi wakubwa!
 
Naomba muongozo..kama visiwani yamefutwa na maana kuna kura za zenji zunaingia muungano je na bara yafutwe?
 
Back
Top Bottom