Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni Kweli...AZAM TV Breaking News
Azam tv pia wamesema, maalim kaliwa masikini
Unafikiri kwa siku hizi mbili akili za watanzania wa vijijini waliopigia kura CCM zimeshabadilika. Kwanza ndio wanaweza kuwashangaza zaidi maana hawatabiriki kama wale wa Mwanza.Hapo patamuuuuuuu! Wafue na huku bara
..........jesus ....!!
Ufutwe nchi nzima kama wanataka kutenda haki sio kusema udanganyifu ulikuwa Zanzibar na bara kulikuwa akuna udanganyifu.
Sisiem waliposhindwa wanasena kuna udanganyifu waliposhinda wao akuna udanganyifu.