victor kay
Member
- Sep 21, 2015
- 45
- 9
ndivyo ilivyo pale mkubwa anapopigwa akubalikushindwa anaona bola wakose wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu matokeo ysliyofutwa ni ya serikali ya mapinduzi na sii ya muungano.
Tambua kwamba wazanzibar wamechagua rais wa Zanzibar na rais wa muungano.
Na kasoro zipo kwenye uchaguzi wa rais wa Zanzibar na sii rais wa muungano.
Mzee wa kutafasiri katiba ya nchi - asante kwa upeo wako ila kama hujui ni vizuri kubakia kimya usubiri watu wanaojua katiba zote mbili za nchi, Sheria ya NEC na ZEC watujulishe nini impact ya hii kitu.Kama Dr John Pombe Magufuli atapishana na mshindi wa pili kwa idadi ya kura CHINI YA LAKI 5 ambayo ndiyo idadi ya wapiga kura wote wa Zanzibar basi matokeo ya urais wa Muungano yatapaswa kusubiri marudio ya kura Zanzibar, lakini kama MAgufuli amemshinda mshindi wa pili kwa ZAIDI ya kura LAKI 5 basi matokeo yoyote ya Zanzibar hayawezi kuathiri MATOKEO YA URAIS WA MUUNGANO, kwa namna hiyo NSHINDI WA KURA ZA MUUNGANO ATAAPISHWA KAMA KAWAIDA.
Cha pili., NEC sio ZEC, hizi ni tume mbili tofauti, matatizo yaliyowapata ZEC sio matatizo yaliyowapata NEC, hivyo kama upande wa NEC hakukuwa na matatizo yoyote basi uchaguzi wa MUUNGANO KWA UPANDE WA ZANZIBAR UTAENDELEA KUTAMBULIWA, ni ule tu wa SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR ndio utakaorudiwa.
Naomba kuuliza je kura za urais za Lowassa na Magufuli nazo zimefutwa?
Zanzibar ni nchi, lakini kikatiba ya Muungano, iko CHINI ya mwamvuli wa TANZANIA. ni sawa na Tanganyika (Bara) iko chini ya Mwamvuli wa MUUNGANO. ndio mana Bara hawapigii kura Raisi wa Zanzibar, ila SOTE tunapigia Raisi wa MUUNGANO.
Hii ina maana kuna wanaume walikomaa mpaka zikachapwa, cha kusikitisha aliekua ameshindwa alikua radhi lkn kitengo kikawa kinashinikiza.Hivi akisema "kutofahamiana kwa wajumbe wa tume" ana maana wajumbe wa tume hawakukubaliana na hivyo kupelekea kupigana? Hapa anakiri jitihada kubwa za kuchakachua zilifanyika ila baadhi ya wajumbe wa tume wakakomaa. Hili linadhihirishwa pia na ukweli kwamba wajumbe wa tume waliweka itikadi zao za kisiasa mbele kama alivyoeleza. Kwa kuwa Tume ya Uchaguzi si halali na huru, uchaguzi utakaosimamiwa na tume hiyo hauwezi kuwa halali, huru na wa haki.
Na haya aliyoeleza Mwenyekiti wa ZEC ni mapungufu ya NEC pia. Wakati ZEC ina wawakilishi wa CUF pia,NEC inaundwa na makada wa CCM pekee. Kwa hivyo, hali ni mbaya zaidi kwa upande wa Tanzania bara.
Kuweka record sawa, ZEC imefuta uchaguzi uliofanyika Jumapili na matokeo yake yote. Si matokeo ya urais tu kama mleta taarifa JamiiForums alivyoeleza.
hivi anae paswa kuhakikisha uchaguzi huru na wa haki ni nani?
kama tume ndo wanalia uchaguzi haukua huru na wa haki je vyama vishiriki vya siasa kwenye uchaguzi vitasemaje? teh teh teh teh!
ZEC haina mamlaka kwa NEC na NEC hawana mamlaka kwa ZEC, hivyo uchaguzi uliyoahirishwa/ kufutwa ni wa Zanzibar tu , ila matokeo ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapo salama
...... .....
.
hhahaha kilaza kwahiyo huyu raisi wa wa bara atakuwa wa Tanganyika peke yake
Mkuu yaliyofutwa ni ya Zanzibar na sii ya muungano.Na la Raisi Wa jamhuri ya Muungano anayewakilisha pande zote za muungano wakati Wa upande mmoja wa Muungano matokeo yamefutwa
Atakua Raisi Wa Jamuhuri ya TANGANYIKA ??????