Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

Elections 2015 Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) yafuta Matokeo yote ya Uchaguzi Mkuu

...Hivyo uchaguzi wa Raisi wa muungano na wabunge wa muungano uliofanyika zanzibar kwangu mimi nauona ulifanyika vizuri chini ya usimamizi wa Jaji Lubuva.Zoezi la kutangaza matokeo liendelee.Ya ZEC wabaki nayo ZEC wenyewe
Vipi matokeo ya Rais wa Muungano kutoka Zanzibar ambayo ZEC imekuwa inaipa NEC iyatangaze, na ZEC imerudi kusema kuwa ni batili? Je, ni halali NEC kutangaza matokeo ambayo anayeyatoa ameshasema ni batili? Hebu tufafanulie maoni yako hapo
 
Hiv hyo tume walikua wapi mpaka leo ndo wanajitokeza na kudai uchaguzi haukua wa kweli na haki
 
Ahsante, sasa soma tena nilichokiandika halafu jaribu kutoa jibu/majawabu tena !

Na kama uwezo wako umeishia hapo katika kuufahamu Muungano pia nashukuru kwa ulichokiandika hapo juu.

nisahihishe kama nimekosea, uliuliza maswali mawili ... 1. Tuna aina gani ya serikali? 2. Zanzibar ni mkoa kama mikoa mingine bara.

Majibu yangu ni kwamba, 1. Tuna serikali ya Muungano wa nchi mbili, Tanganyika na Zanzibar. 2. Zanzibar ni NCHI sio mkoa kama mikoa mingine.

na pia nimeeleza, kama Zanzibar wamekosea wao ndio warudie maana Bara (Tanganyika) hatupigii kura Raisi wao. nimeeleweka sasa?
 
Huu ni ujumbe tosha kwa wale woote walio na fikra ya kwamba CCM itafanya mabadiliko. MAALIM Seif kama mgombea ana face media anaeleza position yake juu ya kinachoendelea. Lowasa nae pia. Yuko wapi Shein na Magufuli?

CCM ndiyo ile ile. Nchi itaendelea kuongozwa kwa remote tu kutoka Msasani na Masaki
 
Sababu ya kwanza imenichekesha sana. Kuvua mashati na kupiga,sipati picha wazanzibar wanapiga.
 
baada ya kuona maalim seif kashinda ndo yafutwe.ingeshinda ccm yangefutwa??
 
Hii inaonyesha jinsi Zanzibar ilivyopata uhuru kutoka kwa Sultani, Yakafanyika mapinduzi ya kupoka uhuru huo, ili kuiweka chini ya ukoloni wa Tanganyika kwa kivuli cha JMT.

Ukweli ni kuwa imethibitika rasmi, ya kwamba, Zanzibar ndio taifa pekee duniani ambalo bado halijapata uhuru. Siku Zanzibar itakapookolewa kutoka CCM, siku hiyo iadhimishwe kuwa 'independence day'

Mods mnavyoniogopa mtafuta na hii.
 
Mkuu yaliyofutwa ni ya Zanzibar na sii ya muungano.
Ya muungano yanasimamiwa na NEC mkuu so NEC ndio wangetangaza kufuta.
Aisee! Ina maana uchaguzi wa Zazibar ulikuwa unaratibiwa na tume mbili tofauti, yaani ndani ya chumba cha kura kulikuwa na wajumbe wa NEC na wa ZEC na kila mmoja alikuwa anatupa jicho kwenye sanduku la kura linalomuhusu? Naona leo wengi mtalala na viatu, maana hamtaki matokeo ya ZEC lakini ya NEC mnayataka!
 
Tanzania tuifanye nchi ya amani jamani!

Mbona mwkt hajafuta pia tanganyika ambako baadhi sehemu kuligubikwa na kasoro nyingi?

Hatutaki AMANI kwa sasa mkuu tumeshachoshwa na kuhubir Aman ya woga. LAZMA TUHESHIMIANE TUU HAMNA NAMNA.
 
Huu ni ujumbe tosha kwa wale woote walio na fikra ya kwamba CCM itafanya mabadiliko. MAALIM Seif kama mgombea ana face media anaeleza position yake juu ya kinachoendelea. Lowasa nae pia. Yuko wapi Shein na Magufuli?

CCM ndiyo ile ile. Nchi itaendelea kuongozwa kwa remote tu kutoka Msasani na Masaki

Hii inaonyesha jinsi Zanzibar ilivyopata uhuru kutoka kwa Sultani, Yakafanyika mapinduzi ya kupoka uhuru huo, ili kuiweka chini ya ukoloni wa Tanganyika kwa kivuli cha JMT.

Ukweli ni kuwa imethibitika rasmi, ya kwamba, Zanzibar ndio taifa pekee duniani ambalo bado halijapata uhuru. Siku Zanzibar itakapookolewa kutoka CCM, siku hiyo iadhimishwe kuwa 'independence day'

Mods mnavyoniogopa mtafuta na hii.
 
Acha uwongo wako, matokeo yaliyotangazwa na Tume ni Mbeya Tunduma
Ccm 19446 37.28%
Ukawa 32219 61.76%

Na bumbuli sio kama unavyosema. pitia humu JF kuna uzi wa updates za matokeo linganisha hayo unayoyasema na yaliyomo

acha kutoa mapovu wewe! uchaguzi umechakachuliwa na CCM na kibaraka wao, NEC.
 
Wana mabadiliko wote tunatakiwa kufurahia tendo hili kwani sasa tunaelekea kushinda na demokrasia ita kwenda kutawala. Hapa CCM hatoki. Tuhakikisha yale makosa yaliyo jitokeza ya kura feki kuingia Tumeya uchaguzi Zanzibar tuna ya thibiti kwa hali na mali. Tutafanya kila njia tujue matokeo hayo yalitokea wapi kwasababu tayari kura za mwanzo zipo wazi. Tuhakikishe tuna simama imara pamoja. Na kwenye haki tusiogope police wala Jeshi. Tufanye uchaguzi wa amani na CCM will be OUT..!! " Aluta Continua "
 
Wana jamvi
Ukurasa mpya wa kisiasa umefunguka nchini.
-Hivi inawezekana uchaguzi ukakosa uhuru na haki kwa kura ya urais tu?
-Hivi kasoro hizo zimeonekana baada ya Maalim kujitangazia matokeo?

Haramu n Halali havijawahi kukaa chungu kimoja. Urais haramu ndani ya chungu halali cha urais wa jamhuri, ubunge, uwakilishi, udiwani.

Hata tume ni haram
 
Hivi hata huku Bara mgombea akajitangazia ushindi tume hii itafuta uchaguzi wa Muungano?
 
Back
Top Bottom